Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Kenya (MVP), Enock Morrison kutoka Ghana, ameripotiwa kuzikataa ofa kutoka kwa vigogo wa soka Tanzania, Yanga SC na Simba SC. Taarifa zinaeleza kuwa Morrison amefikia makubaliano ya kujiunga na klabu moja nchini Sudan, hatua iliyomaliza matumaini ya klabu hizo mbili kums
Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema maandalizi ya timu yake kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar yamekamilika na kila kitu kiko tayari kwa ajili ya pambano hilo muhimu. Akizungumza kabla ya mchezo huo, Barker amesema Simba inautambua ubora wa Mtibwa Sugar na saba
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amezusha mjadala mzito mitandaoni baada ya kurusha kijembe kizito kwa mahasimu wao wa jadi, Young Africans SC, kuelekea hatua za fainali za mashindano ya kombe la ndani. Ahmed Ally ameonekana kujiamini kupitiliza huku akidai kuwa wali
YANGA SC inaongoza ligi na pointi 60 baada ya mechi 25, safu ya ushambuliaji imefunga magoli 58 na kinara ni Allan Okello mwenye magoli 11. Hii hapa orodha ya wafungaji magoli 2025/26 NBC Premier Mchezaji Magoli Asisti Allan Okello 11 7 Prince Dube 9 3 Mudathir Yahya 8 2 Pacom Zouzoua 7 4 Laurindo D
Vitu vya Kwenda Navyo JKT Mujibu Wa Sheria 2026 Jeshi la Kujenga Taifa limetoa wito kwa vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita mwaka 2026 kuhudhuria Mafunzo ya JKT Kundi la Lazima, yanayojulikana pia kama Mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria. Kwa vijana wanaotarajiwa kuripoti makambini, ta
MECHI 5 za mwisho kwa Simba SC ndani ya NBC Premier League ilipata ushindi mara baada ya kutoka kugawana pointi mojamoja na Yanga SC. Kwenye msimamo ipo nafasi ya pili baada ya mechi 25 imekusanya pointi 58 tofauti ya pointi 2 na Yanga SC yenye pointi 60 nafasi ya kwanza. Haya hapa matokeo ya Simba
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, anaendelea kuweka rekodi ya kuvutia ndani ya klabu hiyo baada ya kuiongoza timu kucheza michezo 27 mfululizo bila kupoteza katika mashindano mbalimbali msimu huu. Chini ya Barker, Simba imeonyesha uimara mkubwa na mwendelezo wa kiwango bora, hali inayowafanya wa
NBC Premier League makipa wapo kazini kutimiza majukumu yao ndani ya msimu wa 2025/26. Hapa tunakuletea orodha ya makipa wenye clean sheet nyingi kwa mujibu wa Ligi Kuu:- Kipa Timu Clean Sheets Djigui Diarra Yanga SC 13 Mahamadou Kassali Simba SC 12 Aishi Manula Azam FC 11 Jean Joel TRA United 10 Zu
MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zikizidi kupamba moto, kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Allan Okello, ameweka wazi msimamo wa kikosi hicho kuelekea hatua za lala salama za msimu, akisisitiza kuwa dhamira yao ni moja tu kutwaa ubingwa. Okello amesema anaelewa ugumu mkubwa uliopo katika ligi
Msimamo wa Ligi Kuu NBC Leo Mei 21, 2026 Kabla na Baada ya Mechi Mbio za kumsaka bingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 zinaendelea leo Mei 21, 2026, huku macho ya mashabiki yakielekezwa kwenye michezo mitatu itakayopigwa Dar es Salaam, Tanga na Lindi. Kabla ya mechi hizo, msimamo unaonyesha Y
Kikosi cha Simba vs Coastal Union Leo 21/05/2026 Simba SC inashuka dimbani leo, Mei 21, 2026, kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu utakaopigwa Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga. Huu ni mchezo wa raundi ya 24 kwa timu hizo, ukiwakutanisha Simba iliyo nafasi ya pili ikiwa na pointi 52 dhi
Fiston Mayele atajwa kikosi cha DR Congo Kombe la Dunia 2026 Mshambuliaji Fiston Mayele ameandika historia mpya baada ya kujumuishwa katika kikosi cha mwisho cha timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kitakachoshiriki Kombe la Dunia 2026. Mayele, nyota wa zamani wa Yanga na mshambuliaji w
Timu Za Afrika Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026 na Nafasi Zao Kwenye Michuano Kombe la Dunia 2026 litakuwa moja ya mashindano makubwa zaidi katika historia ya soka duniani, likiwa la kwanza kushirikisha timu 48 na zaidi ya mechi 100. Michuano hiyo itafanyika Marekani, Mexico na Canada kuanzia Juni 11
Ratiba ya Kombe la Dunia 2026: Mechi Zote, Tarehe, Viwanja na Makundi Kombe la Dunia 2026 litafanyika kuanzia Juni 11 hadi Julai 19, likiwa ni toleo la kwanza la mashindano hayo kuwa na timu 48 na zaidi ya mechi 100. Michuano hiyo itachezwa katika nchi tatu za Amerika Kaskazini: Marekani, Mexico na
KIUNGO mshambuliaji raia wa Afrika Kusini, Neo Maema, amejikuta akiwa kwenye ukurasa mpya wa mustakabali wake baada ya muda wake wa mkopo ndani ya Simba SC kukaribia kufikia tamati, hali inayozidi kuibua mjadala mkali kuhusu hatma yake Msimbazi. Maema, alijiunga na Simba SC kwa mkopo akitokea Mamelo