Morgan Rogers, mwenye miaka 23, yuko tayari kucheza nje ya England huku mabingwa wa Ulaya Paris Saint-Germain wakiungana na Arsenal, Manchester United na Chelsea katika mbio…
Browsing: TETESI ZA SOKA
Beki wa kimataifa wa Mauritania, Khadim Diaw (27), amekuwa lulu sokoni mwezi huu wa Januari 2026 baada ya kuvunja mkataba wake na klabu ya Al Hilal…
TETESI za kiungo wa Singida Black Stars, Clatous Chama, kurejea tena ndani ya kikosi cha Simba SC zimezidi kupamba moto, baada ya mchezaji huyo kutoa kauli…
Wakati ligi zikiwa zinasimama kupisha michuano ya mataifa ya Africa AFCON, ni wakati ambao klabu zinatazama ni nani wanamuhitaji kwenye kuongeza nguvu na yule wasie muhitaji…
Tottenham Hotspur wamemfanya winga wa Everton, Iliman Ndiaye, 25, kuwa mchezaji anayelengwa zaidi, lakini Newcastle United, Juventus, AC Milan na Atletico Madrid pia wanamfuatilia mchezaji huyo.…
Kocha Nasreddine Nabi amewasili Jijini Dar es Salaam leo asubuhi, hatua ambayo imezua tetesi kuwa yupo mbioni kutangazwa rasmi kuinoa moja ya timu kubwa nchini. Kwa…
Baada ya kuachana na vigogo wa Tanzania Simba SC, Kocha Fadlu Davids anatarajiwa kuchukua mikoba ya kuinoa klabu ya Raja Club Athletic. Makubaliano yote tayari yamekamilika…
Klabu ya Manchester United imeripotiwa kumtazama kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga kuwa mbadala kama watamkosa Carlos Baleba wa Brighton wanayemtazama zaidi kama chaguo la kwanza.…
“Tulipokea ofa nyingi sana za hapa Afrika kusini kutoka kwa vilabu kama Kaizer Chiefs,Orlando Pirates na vingine vingi lakini vya nje ya Afrika kusini vikihitaji huduma…
Manchester United wanapanga mpango wa pauni milioni 50 kumnunua kiungo wa kati wa Sporting na Denmark Morten Hjulmand, 26, iwapo watamkosa mchezaji wa kimataifa wa Cameroon…