Dereva wa Anthony Joshua ameshtakiwa baada ya ajali nchini Nigeria ambayo ilimjeruhi bondia huyo na kuwaua marafiki zake wawili wa karibu, polisi wamesema. Adeniyi Mobolaji Kayode, mwenye umri wa miaka 46, alishtakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Sagamu Ijumaa (Januari 2). Waendesha mashtaka w
Ramla Ali, mwanamichezo wa kwanza kuwakilisha Somalia katika ndondi kwenye Michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020, na mwanamke wa kwanza wa Kisomali kuingia katika mchezo huo kiushindani. Ali alizaliwa mwaka 1989, na familia yake iliondoka Somalia isiyo salama mapema miaka ya 1990 na kuwasili London miak
Mabingwa wa zamani wa dunia katika masumbwi, Mike Tyson na Floyd Mayweather, wanatarajiwa kukutana ulingoni kwa pambano la maonyesho mwaka 2026. Kampuni ya yenye kujihusisha na mchezo wa masumbwi, CSI Sports, imetangaza pambano hilo kati ya Tyson, ambaye atatimiza miaka 60 mwaka ujao, na Mayweather
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mtangazaji wa #AzamTV, Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC), baada ya kamati ya awali kumaliza muda wake. Nyembera ataiongoza Kamati hiyo ya muda ya TPBRC, yenye jumla ya w