Habari Mpya
Habari 884 · Ukurasa 11 kati ya 59

ROBO FAINALI YA MOTO MBWENI
JKT Tanzania leo wanatarajiwa kuvaana na Young Africans SC katika mchezo wa robo fainali ya CRDB Federation Cup.Mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa Meja General Isamuyo Stadium jijini Dar es Salaam majira ya saa 12:30 jioni. Mchezo huo unatajwa kuwa mgumu kwa upande wa Yanga kutokana na ubora ambao

UBORA WA SASA WA SIMBA UNAWATISHA YANGA
Ubora wa simba katika kipindi hiki umekuwa maumivu makubwa kwa yanga. Tangu dirisha dogo la usajili, Simba wamefanya maboresho makubwa ndani ya kikosi chao kwa kusajili wachezaji walioingia haraka kwenye mfumo wa timu na kuendana vizuri na ushindani wa ligi.Tofauti kubwa ya Simba ya sasa na ile ya m

MOLAN NA BOBEDI WAANZA KAZI RASMI YANGA
Klabu ya Young Africans SC imeanza rasmi maisha mapya chini ya makocha wa muda, Molan na Mabedi, ambao leo wameanza majukumu ya kuinoa timu hiyo kufuatia kuondolewa kwa aliyekuwa kocha mkuu, Pedro Gonçalves. Makocha hao wawili wanatarajiwa kuiongoza Yanga hadi mwisho wa msimu huku wakipewa jukumu la

MCHAKATO WA CHOBWEDO KUHAMIA MSIMBAZI UMEFIKIA PAZURI??
INAELEZWA kuwa uongozi wa Simba SC upo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kiungo wa TRA United Ramadhan Chobwedo. Kiungo huyo amekuwa kwenye ubora katika mechi za hivi karibuni dhidi ya vigogo wa Kariakoo jambo ambalo linatajwa kuwavutia mabosi wa Simba SC. Mbali na Simba SC imekuwa ikitajwa kuwa hat

RATIBA YA NBC PREMIER LEAGUE MECHI ZA LEO MAY 8
NBC Premier League inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili msimu wa 2025/26 mabingwa watetezi ni Yanga SC wanaoongoza ligi na pointi 51. Mei 8, 2026 Ijumaa zinatarajiwa kuchezwa mechi mbili kali kwa wababe kusaka pointi tatu muhimu uwanjani. TRA United vs Azam FC, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, saa 10:00

HIZI HAPA SABABU ZA YANGA KUMFUKUZA KOCHA
UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi sababu za kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Pedro Gonçalves, ukieleza kuwa maamuzi hayo hayakutokana na matokeo ya uwanjani pekee bali tathmini ya kina ya mwenendo mzima wa kikosi hicho. Akizungumza kuhusu uamuzi huo, Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe amesema

SIMBA YAMFWATA YANGA KMC STADIUM
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC, wametangaza rasmi kuhama kutoka Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni na kuhamishia michezo yao ya nyumbani kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam, huku sababu ya kufanya hivyo ikibainika. Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Mei 7, 2026, ikiwa ni

MPENJA: CHAMA ALIKUWA ANAOMBA MUNGU SANA ARUDI SIMBA
Mtangazaji na mchambuzi wa michezo Baraka Mpenja amefunguka kuhusu safari ya kurejea kwa kiungo mshambuliaji Clatous Chama ndani ya kikosi cha Simba SC, akieleza namna ambavyo nyota huyo alikuwa na hamu kubwa ya kuirudia timu hiyo licha ya baadhi ya mashabiki kuwa na mashaka juu ya uwezo wake. Akizu

WACHEZAJI WA REAL MADRID WAPIGANA KISA MBAPPE
Kiungo wa klabu ya Real Madrid, Federico Valverde na mwenzake Aurélien Tchouaméni wanadaiwa kuingia kwenye ugomvi mkubwa wakati wa mazoezi ya timu hiyo, huku mvutano wao ukielezwa kuendelea hadi ndani ya chumba cha kubadilishia nguo. Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali zinazozunguka kwenye vyombo vya h

GOLI BORA LA CHAMA LAMFUKUZISHA KOCHA WA YANGA
Klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves, kufuatia maamuzi ya uongozi wa klabu hiyo. Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa Yanga umemshukuru kocha huyo kwa mchango wake ndani ya klabu na kumtakia

WANANCHI WAENDELEA KUTAMBA LIGI KUU TANZANIA BARA
Klabu ya Young Africans SC imeendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la KMC Complex. Bao pekee la mchezo lilifungwa dakika ya 65 na kiungo mshambuliaji Allan Okello maarufu kama “Star Boy

SARE YA GONCALVES, KISASI NA KANUNI YA BARKER
DAKIKA 90 za mechi baina ya KMC dhidi ya Yanga itakayochezwa leo Jumatano saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, zinaweza kutumika kwa mambo mawili kama daraja la ubingwa. Lakini, kocha wa Yanga, Pedo Goncalves ameahidi kasi ileile waliyoitumia katika mechi dhidi ya Simba (Muun

TETESI: CHILAMBO MBIONI KUMRITHI KAPOMBE SIMBA
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kunasa saini ya beki wa kulia wa Azam FC, Nathaniel Chilambo, kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo kuanzia msimu ujao wa 2026/27. Chilambo, ambaye mkataba wake na matajiri wa Jiji la Dar es Salaam unatarajiwa tamati mwishoni mwa msimu huu, tayari amesaini mkataba wa awali

IRAN ITASHIRIKI KOMBE LA DUNIA MWAKA HUU 2026
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amethibitisha rasmi kuwa Iran national football team itashiriki FIFA World Cup 2026 licha ya mvutano wa kisiasa kati ya United States, Israel na Iran.Akizungumza kwenye mkutano wa FIFA uliofanyika Vancouver Aprili 30, 2026, Infantino alisisitiza.Hakuna shaka Iran itas

