Swali Langu La Msingi Kuhusu Chama Clatous na Henoc Inonga Bacca Kuhusishwa Kutaka Kurejea Simba Sports ni hili hapa..✍️
Je zile Sababu ambazo zilipelekea Simba Sports wakaachana nao sasa hivi zitakuwa hazipo tena??
Manake yamezungumzwa Mengi sana wakati hawa wachezaji wanaondoka Simba.Kuna nyakati Mpaka Simba Sports wenyewe waliwasimamisha.
Nauliza tena hizi Sababu sasa hivi hazipo tena Mpaka Kutaka Kurejea Simba Sports au ni Kitu gani?
Ameandika mchambuzi wa michezo Wilson John Oruma (Mzee wa Jambia)









Leave a Reply