6 days ago
SIMBA YAKWEA PIPA KUWAFUATA AL MASRY, AIR MANULA ABAKI
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids alfajiri ya Machi 28 2025 kimekwea pipa kuelekea Misri kwa ajili…
4 weeks ago
MAKIPA YANGA NA SIMBA KWENYE VITA YAO HUKO
KUNA kazi nzito ndani ya uwanja kwenye msako wa pointi tatu muhimu kwa wababe wawili ambapo kila kona kuna kisanga…
4 weeks ago
AZIZ KI HATIHATI KUIKOSA DABI, KOCHA ASHUSHA PRESHA
KUELEKEA Kariakoo Derby, Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara…
4 weeks ago
WACHEZAJI WANAOONGOZA KWA HAT TRICK MSIMU WA 2024/25 NBC PREMIER LEAGUE
NDANI ya Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika kuna wakali wakucheka na nyavu ambao wameandika rekodi…
4 weeks ago
MKANDAJI KIBU D APATA KITETE ISHU YA KARIAKOO DABI
KIBU Dennis kiungo wa Simba maarufu kwa jina la Kibu Mkandaji amepata kigugumizi kuhusu mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya…
3 weeks ago
CAF WAJE HATA LEO AU KESHO BENJAMIN MKAPA IKO TAYARI – SERIKALI
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Cde Gerson Msigwa amesema uwanja…
4 weeks ago
SIMBA WATUMA MASHUSHUSHU MISRI
SIMBA imedhamiria Kimataifa. Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya kufanya kazi ya nguvu kwa kuwatuma mashushu wake hodari, kuwapeleleza wapinzani…
3 weeks ago
MASTAA YANGA WAPEWA KAZI HII NA KOCHA WAO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hamdi Miloud ameweka wazi wachezaji wake wanafanya kazi kubwa kutafuta matokeo uwanjani jambo ambalo linapaswa kuwa…