
Kitaifa
RASMI: CLEMENT MZIZE KUUZWA KWA WAARABU TIMU HII
INAELEZWA kuwa Yanga SC wamefikia makubaliano ya kumuuza mshambuliaji wa mabao ndani ya kikosi hicho ambaye ni mzawa namba moja kufunga mabao mengi msimu wa 2024/25. Ni Clement Mzize ambaye alikuwa chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Mzize anashikilia rekodi ya kucheza mechi zote 30 za lig














