Mtangazaji wa Wasafi FM na mwanachama wa Yanga, Haji Manara, ametoa onyo kali kwa klabu yake kufuatia kupoteza fainali ya Muungano dhidi ya Simba SC. Manara amekosoa tabia ya kujiamini kupiliza na dharau iliyoonyeshwa na upande wa Yanga kabla ya mchezo, akisisitiza kuwa dabi haihitaji mbwembwe za nj
Mchambuzi wa soka Hans Rafael ametoa tahadhari nzito kwa klabu ya Yanga, akidai kuwa ubora na utawala waliokuwa nao misimu miwili iliyopita sasa umepotea. Hans ameeleza kuwa Simba imefanikiwa kufuta pengo la kiufundi lililokuwepo, jambo linalothibitishwa na Simba kuibuka mbabe katika dabi mbili mful
Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, amewatoa hofu mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kupoteza fainali ya Muungano Cup 2026 dhidi ya Simba SC. Kamwe amewasisitiza mashabiki kutokata tamaa, akieleza kuwa mchezo huo haupaswi kupewa uzito mkubwa kwani ulikuwa na sura ya kirafiki, na badala yake nguvu zote z
Mshindi lazima apatikane leo Yanga SC vs Simba SC, Muungano CUP leo Aprili 29, 2026 Uwanja wa New Amaan Complex. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa saa 2:15 kwa wababe hawa kusaka mshindi wa taji hilo ambalo lipo mikononi mwa Yanga SC. Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves anatarajia kupambana
Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, ameelezea kutoridhishwa kwake na kiwango kilichoonyeshwa na vijana wake katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Muungano 2026 dhidi ya Young Africans (Yanga SC) uliopigwa leo Aprili 25, 2026, katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Ibenge amebainisha kuwa timu yake
matokeo ya Azam FC vs Yanga SC Leo 25/04/2026 Wana rambaramba Azam FC leo watakuwa wenyeji wa Yanga SC katika pambano la nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Muungano litakalopigwa katika dimba la Amaan Complex, Zanzibar. Mchezo huu wenye hadhi ya juu unatarajiwa kuanza saa 2:15 usiku, ukiwa na mvuto
KUNA mchezo mmoja wenye hadhi ya fainali utakaopigwa leo Uwanja wa Amaan kuanzia saa 2:15 usiku na Azam FC itakutana na bingwa mtetezi wa Kombe la Muungano, Yanga, katika nusu fainali ya kwanza ya michuano hiyo. Yanga ndiyo ilikuwa ya kwanza kufuzu hatua hii baada ya kuifunga Muembe Makumbi City mab
Klabu ya Simba SC imezidi kudhihirisha ukubwa wake katika nyanja ya kidijitali baada ya kufanikiwa kuingia kwenye orodha ya timu 20 bora duniani zenye wafuasi wengi zaidi kupitia mtandao wa WhatsApp. Kwa mujibu wa takwimu za Global Football Digital Benchmark 2026, Simba SC inashika nafasi ya 19 ikiw
Chelsea FC wanaweza kufikiria kumuachia Cole Palmer endapo ofa kubwa ya takribani £130M (karibu Tsh bilioni 410+) itawasilishwa majira haya ya joto.Kwa sasa, Real Madrid na Paris Saint-Germain ndizo klabu zinazotajwa kuwa na uwezo wa kufikia thamani hiyo. Palmer, aliyesajiliwa kwa £42.5M, angeleta f
Morgan Rogers, mwenye miaka 23, yuko tayari kucheza nje ya England huku mabingwa wa Ulaya Paris Saint-Germain wakiungana na Arsenal, Manchester United na Chelsea katika mbio za kumsajili kiungo mshambuliaji huyo wa Aston Villa. (Talksport) Manuel Akanji anatarajiwa kuhamia moja kwa moja Inter Milan
Mambo yamezidi kuwa magumu kwa Real Madrid katika mbio za kuwania ubingwa wa La Liga, baada ya kupoteza alama muhimu kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya Real Betis ugenini, katika dimba la La Cartuja jijini Sevilla. Real Madrid walianza vyema mchezo huo, wakitangulia kupata bao kupitia Vinicius Junior map
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetangaza mabadiliko ya uwanja kwa mchezo wa pili wa Dabi ya Kariakoo msimu wa 2025/26 kati ya Simba na Yanga. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Aprili 24, 2026, mchezo huo sasa utapigwa Mei 03, 2026 saa 12:00 jioni katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, ambao ni uwanja
BENCHI la ufundi na wachezaji wa Mlandege SC wameweka wazi kuwa wana majibu ya kuwapa wapinzani wao, Simba SC, watakapokutana katika nusu fainali ya Kombe la Muungano. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumamosi, Aprili 25, 2026, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Pambano hilo linatarajiwa ku
BAADA ya kuondolewa katika michuano ya Kombe la Muungano na Mlandege SC, kikosi cha Singida Black Stars kinarejea Dar es Salaam kuanza maandalizi ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union. Singida Black Stars wanatarajiwa kuvaana na Coastal Union ambao watakuwa wenyeji wa m