Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka la Senegal Abdoulaye Sow ameweka wazi msimamo wa Taifa lake la Senegal kuhusiana na maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya CAF ya kuwapa ubingwa wa AFCON 2025 Timu ya taifa ya Morocco. “Kombe halitaondoka nchini! Shirikisho la soka Afrika limeoza, na majibu kutoka duniani ko
FIFA imepitisha sheria kadhaa mpya za Kombe la Dunia la 2026 zinazolenga kupunguza upotevu wa muda na kuboresha maamuzi. • Wachezaji waliobadilishwa lazima watoke nje ya uwanja ndani ya sekunde 10, au mchezaji mwingine asubiri dakika 1 kabla ya kuingia. • Rupia lazima ichukuliwe ndani ya sekunde 5,
Mwamuzi Katanga Hussein kutoka Tabora amefungiwa kuchezesha mechi kwa mizunguko mitatu (3) baada ya kubainika kushindwa kutafsiri ipasavyo sheria za mpira wa miguu. Adhabu hiyo inatokana na tukio la mchezo kati ya Singida Black Stars na Simba SC uliochezwa katika dimba la Uwanja wa Airtel Mtipa. Kat
Shabiki maarufu wa Yanga, Carlos Leonard Mayangura, amefungiwa kwa muda wa miezi 12 kufuatia kuhusika katika tukio la uharibifu wa mali katika dimba la Uwanja wa Airtel Mtipa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi, shabiki huyo aliongoza kundi la mashabiki pamoja na baadhi ya maofisa wa ulinzi wa klabu kuvunj
Mwamuzi Ally Mnyupe kutoka Morogoro amefungiwa kuchezesha mechi kwa mizunguko mitatu (3) baada ya kushindwa kutafsiri ipasavyo sheria za mpira wa miguu katika mchezo kati ya Azam FC na Yanga. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa sare tasa, mwamuzi huyo alish
Mabingwa wa Afrika, Senegal wamepokonywa rasmi taji la Africa Cup of Nations miezi miwili baada ya sherehe kubwa za ushindi, kufuatia uamuzi wa kushangaza wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Uamuzi huo umeipa Morocco ushindi wa mezani wa mabao 3-0, baada ya bodi ya rufaa ya CAF kukubaliana na malala
Manchester United wako tayari kuanza mazungumzo ya mkataba mpya na Casemiro ili kumbakiza Old Trafford zaidi ya msimu huu wa joto. Klabu ina nia ya kumshawishi kiungo huyo mwenye uzoefu kuendelea kuwa sehemu ya mipango yao ya baadaye, lakini atalazimika kukubali kupunguza mshahara wake kwa kiwango k
Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Richarlison, ameibuka shujaa wa Tottenham Hotspur baada ya kufunga bao la dakika za lala salama na kulazimisha sare ya 1-1 dhidi ya Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza uliopigwa Jumapili jioni. Mchezo ulianza kwa kasi huku Liverpool wakionekana kudha
West Ham United wamewalazimisha Manchester City kwa sare ya 1–1 katika mchezo wa Premier League uliokuwa na ushindani mkubwa. City walitangulia kufunga kupitia Bernardo Silva dakika ya 31, lakini West Ham wakajibu haraka kupitia Konstantinos Mavropanos dakika ya 35, na kuifanya mechi hiyo kumalizika
Timu ya Taifa ya Tanzania national football team imepata pigo kubwa katika safu yake ya ulinzi baada ya mabeki wake watatu kupata majeraha makubwa yaliyowalazimu kufanyiwa upasuaji, hali itakayowafanya kukaa nje ya uwanja hadi mwishoni mwa msimu wa 2025/26. Mabeki waliopata majeraha hayo ni Wilson N
UONGOZI wa klabu ya Simba SC umeweka wazi hali ya wachezaji wake waliopo majeruhi, huku beki Wilson Nangu akitarajiwa kurejea uwanjani Julai mwaka huu baada ya kuendelea na matibabu. Akizungumza kuhusu hali ya kikosi, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema wachezaji wo
VINARA wa Ligi Daraja la kwanza Kanda ya Unguja, Black Sailors, wamesema msimamo umekuwa hamasa nzuri ya kuanza mazoezi kwa ari zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Kocha Msaidizi, Said Mwinyi akisema amefurahishwa na namna wachezaji walivyoanza mazoezi kwa ari kubwa. Black Sailor inaongoza ligi hiyo kwa
Kocha mkuu wa Chelsea FC, Liam Rosenior, amesema klabu hiyo “imepata mchezaji bora zaidi duniani katika nafasi yake” baada ya beki wa kulia Reece James kusaini mkataba mpya wa miaka sita. James, mwenye miaka 26, alijiunga na timu kubwa ya Chelsea na kucheza mechi yake ya kwanza katika kikosi cha wak
LICHA ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara ndani ya kikosi cha Simba SC kutokana na kusumbuliwa na majeraha, kiungo wa timu hiyo Mohammed Bajaber, amejumuishwa katika kikosi cha Kenya national football team kitakachoshiriki michuano ijayo ya FIFA Series itakayofanyika nchini Rwanda. Timu ya Tai