Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara TPLB imetangaza rasmi kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu tarehe 08 mwezi Novemba, 2025 baada ya kusitishwa siku kadhaa zilizopita kutokana na sababu za kiusalama.
Novemba 8 itachezwa michezo miwili ambapo Pamba Jiji atamkaribisha Singida BS CCM Kirumba saa 10 jioni na saa 01 Jioni utachezwa mchezo wa pili kwenye dimb la Meja Isamuhyo kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba.
Wananchi watashuka dimbani KMC Complex Novemba 9 kucheza dhidi ya KMC saa kumi jioni wakati Azam FC akiwa mgeni wa Namungo Majaliwa Stadium saa 1 Jioni.










Leave a Reply