
Kitaifa
UWANJA WA MKAPA KUFUNGWA KUPISHA AFCON 2027
SERIKALI imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia mwezi huu ili kupisha awamu ya mwisho ya ukarabati mkubwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Akizungumza katika mahojiano na gazeti la The Citizen, Msemaji Mkuu wa Serikali a














