KUELEKEA mchezo wa kesho wa Der es Salaam Derby wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kocha mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, Amesema kuwa timu yake inakutana na changamoto kubwa dhidi ya wachezaji wenye viwango vya juu. Amesema kuwa watakutana na timu ngumu zaidi kwenye ligi hii, ambayo imejipanga vyema kwa mec
Tanzania Yatoa Zaidi ya Sh80 Bilioni CAF Ili Kuwa Mwenyeji wa AFCON 2027 Serikali ya Tanzania imelipa Dola Milioni 32 za Marekani, sawa na zaidi ya Sh80 bilioni, kwa Shirikisho la Soka Afrika, Confederation of African Football (CAF), kama sehemu ya kutimiza masharti muhimu ya kuwa mwenyeji wa mashin
Bilioni 388.8 Kujenga AFCON City Unguja Zanzibar, Tanzania; Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza mpango wake wa kuimarisha miundombinu ya michezo kuelekea AFCON 2027, ikitangaza mradi wa Bilioni 388.8 Kujenga AFCON City Unguja unaojengwa Fumba kama sehemu ya maandalizi ya kupokea timu na
Ulimwengu wa soka umeshtushwa na ripoti zinazodai kuwa nyota wa kimataifa wa Canada, Alphonso Davies, anafikiria kuachana na soka la ushindan. Beki huyo mwenye umri wa miaka 25 amepata jeraha jingine hivi karibuni katika mchezo dhidi ya Atalanta, ikiwa ni mfululizo wa matatizo ya majeraha yanayomwan
Davide Ancelotti, mtoto wa Carlo Ancelotti amerejea katika upande wa baba yake kama Kocha Msaidizi wa timu ya taifa ya Brazil baada ya kuacha kazi kama Kocha Mkuu wa Botafogo. Ameajiriwa tena na CBF na anatarajiwa kuwepo kwa mechi za kirafiki mwezi huu dhidi ya Ufaransa na Croatia.
TUZO zinazotolewa kila baada ya mechi za Ligi Kuu Bara, ukiangalia katika vikosi vya Simba na Yanga, wageni ndio wamekuwa vinara wa kuchukua mara nyingi na idadi kubwa ya wachezaji mbele ya wazawa. Tuzo hizo zimeelezwa na wadau pamoja na makocha kuibua ushindani wa timu pamoja na kupandisha thamani
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kwamba Kombe la Dunia la FIFA 2026, litakaloandaliwa kwa pamoja na Marekani, Canada, na Mexico, litakuwa tukio bora kabisa na salama kabisa la michezo katika historia ya Marekani. Trump alisisitiza kwamba Serikali yake inafanya maandalizi makubwa kuhakikisha u
Victor Font, mgombea urais wa Barcelona, ameeleza kwamba Erling Haaland ndiye lengo lake kubwa, akionyesha kwamba klabu ya LaLiga inaweza kuwa na kipaumbele kumchukua mshambuliaji huyo ikiwa ataamua kuondoka Manchester City. Font alisema: “Haaland ni mmoja wa washambuliaji bora duniani. Tumejizatiti
Mgombea urais wa Barcelona, Joan Laporta, amefunguka kuhusu kauli zilizotolewa na Xavi Hernández katika mahojiano yake na La Vanguardia akisema Xavi anaumizwa na mafanikio ya Hans Flick anayoyapata akiwa na wachezaji wale wale aliokuwa nao Xavi. Kiungo huyo wa zamani na kocha aliushambulia vikali uo
KLABU ya Simba SC imethibitisha kuendelea kubaki na kiungo wake, Yusuph Kagoma, baada ya mchezaji huyo kukubali kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo ya Msimbazi. Hatua hiyo imeelezwa kuwa ni sehemu ya mkakati wa klabu kuimarisha kikosi chake kuelekea mashindano yajayo
UONGOZI wa klabu ya Simba umefanikiwa kumuongezea mkataba beki wake tegemeo Rushine De Reuck baada ya kukamilisha taratibu zote za kipengele cha kuongeza muda kilichokuwapo kwenye makubaliano ya awali. Hatua hiyo inaashiria kuendelea kwa ushirikiano kati ya pande hizo mbili huku uongozi wa timu ukio
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves ameweka wazi kuwa kutakuwa na mabadiliko katika kikosi cha timu hiyo kitakachoshuka dimbani kuvaana na Polisi Tanzania kwenye mchezo wa hatua ya 32 bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB. Mabadiliko hayo yanatarajiwa kuonekana katika kikosi cha kwanza kitakachoanza
KIUNGO wa Simba SC, Innocent Loemba amesema kwa sasa kikosi chao hakitazami majina ya wapinzani wanaokutana nao, bali kimeweka nguvu zote katika kusaka ushindi na alama tatu muhimu katika kila mchezo wanaocheza. Nyota huyo ameeleza kuwa ushindani ndani ya ligi umekuwa mkubwa kwa kila timu, hali inay
KOCHA Mkuu wa timu ya B19 maarufu kama Mabeberu wa Jiji, Twaha Beimbaya amesema mchezo wao dhidi ya Simba SC umekuwa somo kubwa kwa kikosi chake, akieleza kuwa vijana wake wamepata uzoefu mkubwa licha ya kuondolewa katika hatua ya 32 ya Kombe la Shirikisho la CRDB. Katika mchezo huo uliochezwa jana
UONGOZI wa klabu ya Simba SC umeweka wazi kuwa mshambuliaji wao, Jonathan Sowah, atapelekwa katika kamati ya nidhamu kwa ajili ya mahojiano na kupatiwa adhabu mara moja kutokana na matukio ya hivi karibuni. Hivi karibuni kulizuka sintofahamu pale mshambuliaji huyo alipoondolewa kambini kabla ya mche