Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Ronaldo kumsogeza Lewandowski Al-Nassr
    KIMATAIFA

    Ronaldo kumsogeza Lewandowski Al-Nassr

    ChikaoBy ChikaoOctober 21, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Ronaldo
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Cristiano Ronaldo ameishauri klabu yake ya Al-Nassr kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Robert Lewandowski ambaye atapatikana bila malipo mwishoni mwa msimu wa 2025-26.

    Mpaka sasa hakuna mazungumzo yoyote yaliyofanywa na Barcelona kuhusu mustakabali wa Lewandowski, lakini inafahamika kuwa huu utakuwa msimu wake wa mwisho akiwa Camp Nou.

    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 amefunga mabao 105 na kusajili mabao 20 katika mechi 156 alizochezea Barcelona katika michuano yote, ikiwa ni pamoja na mabao manne katika mechi tisa msimu huu.

    Atletico Madrid na vilabu vingine vya Uingereza pia vihusishwa na kumtaka mchezaji huyo.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleKWA MARA YA KWANZA MOROCCO YAANDIKA HISTORIA YA KUSSHINDA KOMBE LA DUNIA KWA VIJANA
    Next Article HIVI HAPA VIINGILIO MECHI YA MARUDIANO SIMBA VS NSINGIZINI

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.