Habari Mpya
Habari 884 · Ukurasa 13 kati ya 59

KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema timu hiyo itawakosa baadhi ya nyota wake muhimu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC utakaopigwa leo Aprili 19, 2026, kwenye Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Wachezaji watakaokosekana ni beki wa kushoto

KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”
aada ya uwepo wa tetesi kuhusu Yanga kumuhitaji Selemani Mwalimu Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imekanusha taarifa hizo kuhusu kuvutiwa na mshambuliaji wa Simba SC, Selemani Mwalimu, na kuweka wazi kuwa hakuna mazungumzo yoyote yanayoendelea kati yao na mchezaji huyo. Kupitia ukurasa rasmi wa In

REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Misri (EFA) limewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana mwamuzi na wasaidizi wake waliohusika katika mchezo wa daraja la pili kati ya Tanta na Telecom Egypt, kufuatia kitendo cha ajabu cha kutumia simu ya mkononi kama “VAR ya mchongo”. Katika hali iliyozua mshangao

SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC
KLABU ya Singida Black Stars imeendelea kuonyesha makucha yake baada ya kutinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, kufuatia ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya Mbeya City, hatua inayozidi kuipa matumaini ya kufanya makubwa msimu huu. Ushindi huo umeifanya Singida kuweka wazi malen

BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI
Nahodha wa Manchester City, Bernardo Silva (31), rasmi ameagwa na klabu hiyo kufuatia kumalizika kwa mkataba wake, akihitimisha safari yake ya kihistoria jijini Manchester. Silva, aliyejiunga na City akitokea AS Monaco mwaka 2017, ameacha alama kubwa baada ya kucheza zaidi ya mechi 450 na kuchangia

WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amewatoa hofu mashabiki wa klabu hiyo kwa kuwataka kuwa watulivu licha ya mwenendo wa hivi karibuni katika msimamo wa ligi. Akizungumza kuhusu hali ya ushindani katika Ligi Kuu Tanzania Bara, Ahmed amesema mashabiki hawapaswi kuchukul

SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU
KLABU ya Simba tayari imeanza kuandaa mikakati mikubwa kwa ajili ya msimu ujao, ikiwemo usajili wa wachezaji wapya na uwezekano wa kujenga uwanja mpya katika eneo la Bunju. Hatua hii imekuja kufuatia mapendekezo ya benchi la ufundi na mazungumzo na mzabuni wa vifaa vya michezo, JayRutty. Mwenyekiti

SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA
Kiungo mzoefu wa klabu ya Yanga, Aboubakar Salum ‘Sure Boy’, ameripotiwa kuomba kuondoka ndani ya kikosi hicho kufuatia kile kinachotajwa kuwa ni kukosa nafasi ya kutosha ya kucheza (playing time). Sure Boy, ambaye alijiunga na Yanga akitokea Azam FC kufuatia mivutano na waajiri wake wa zamani, anao

HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA
Mchambuzi mkongwe wa soka, Edo Kumwembe, ametoa kauli nzito akiamini kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chota Chama, anakaribia kufikia mwisho wa soka lake la kiwango cha juu. Kumwembe ameeleza kuwa mwili na miguu ya mchezaji huyo umeanza kumsaliti, akimaanisha kuwa uwezo wake wa kimwili

AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limethibitisha rasmi kuwa mashindano ya kihistoria ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ya mwaka 2027, maarufu kama “Pamoja Bid”, yatafanyika kuanzia Juni 19 hadi Julai 18, 2027. Mashindano hayo yatakayozikutanisha nchi za Tanzania, Kenya, na Uganda kama we

MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST
KATIKA msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ushindani hauishii kwenye ufungaji wa mabao pekee, bali umehamia pia kwenye ubunifu wa pasi za mwisho (assist), ambapo nyota kadhaa wameibuka na kuonesha uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi za mabao. Miongoni mwa majina yanayotajwa zaidi ni Elie Mpanzu wa S

IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema kikosi chake kinafahamu vizuri ubora wa Simba, huku akisisitiza kuwa mchezo wao wa leo utakuwa na hadhi ya kimataifa kutokana na uzoefu wa timu zote mbili kwenye michuano ya Afrika. Azam FC itakuwa mwenyeji wa pambano hilo dhidi ya Simba, litakalopigwa

MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON
Amesema mchezaji kylian Mbappe 🗣“Kama ningelazimika kuchagua kati ya nchi ya baba yangu, Cameroon, au nchi ya mama yangu, Algeria, ningesema nilikulia zaidi katika utamaduni wa Cameroon. Nilikuwa karibu zaidi na familia yangu ya Cameroon.” “Nchi si kama klabu. Mimi ni Mfaransa, nilikulia Ufaransa.

BARKER AWAPA MZIGO MZITO MWALIMU, GUEYE NA OURA SIMBA
KUELEKEA mchezo wa Mzizima Derby, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker, ameweka wazi kuwa ana kazi kubwa ya kuiboresha safu ya ushambuliaji ya kikosi chake, akiwataka washambuliaji wake kuwa watulivu zaidi wanapofika katika eneo la umaliziaji. Barker aliyasema hayo mara baada ya kumalizika kwa dakika 9

