Home KIMATAIFA ARNE SLOT APOTEZA MECHI NNE MFULULIZO LIVERPOOL

ARNE SLOT APOTEZA MECHI NNE MFULULIZO LIVERPOOL

42
0

Tangu achukue mikoba ya kuinoa Liverpool, kocha Arne Slot sasa amefikiwa na rekodi ya kusononesha sana ya kupoteza mechi 4 mfululizo kwenye ligi kuu Uingereza.

Mechi hizo ni dhidi ya;

❌ 2-1 vs Crystal Palace
❌ 2-1 vs Chelsea
❌ 1-2 vs Manchester United
❌ 3-2 vs Brentford

Kutoka kuwa timu inayotetea Ubingwa hadi sasa nafasi ya 6 kwenye msimamo wa Ligi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here