
Kitaifa
Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae
Hadi sasa msimu ukiendelea kushika kasi, mbio za kuwania Kiatu cha Dhahabu katika Ligi Kuu ya NBC zimezidi kuwa kali na zenye ushindani mkubwa. Mshambuliaji Selemani Mwalimu ameendelea kuwa moto, akifikisha jumla ya mabao sita (6) na kujipanga sambamba na washambuliaji wengine hatari kama Prince Dub














