Klabu ya Simba itaanzia nyumbani mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Petro Atlético de Luanda ya Angola.
Ratiba ya Simba katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAFCL).
KUNDI D
Mechi ya Kwanza
Kati ya Nov 21-23
Simba vs Atletico Petroleos
Mechi ya Pili
Kati ya Nov 28-30
Stade Malien vs Simba
Mechi ya Tatu
Kati ya Jan 23-25
ES Tunis vs Simba
Mechi ya Nne
Kati ya Jan 30-1 Feb
Simba vs ES Tunis
Mechi ya 5
Kati ya Feb 6-8
Atletico Petroleos vs Simba
Mechi ya 6
Kati ya Feb 13-15
Simba vs Stade Malien










Leave a Reply