Ruka hadi maudhui
SOKALEO

Timu za La Liga hazipumui kwa timu za EPL

Chikao
Timu za La Liga hazipumui kwa timu za EPL

Timu za Ligi Kuu ya Uingereza zimetawala timu za LaLiga hadi sasa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.

Haya ni matokeo ya mechi zilizokutanisha timu za ligi hizo 2 msimu huu wa UEFA;

✅ Athletic Club 0-2 Arsenal
✅ Arsenal 4-0 Atletico Madrid
✅ Liverpool 3-2 Atletico Madrid
✅ Liverpool 1-0 Real Madrid
✅ Chelsea 3-0 Barcelona
✅ Villarreal 0-2 Man City
✅ Tottenham 1-0 Villarreal
✅ Newcastle 2-0 Athletic Club
❌ Newcastle 1-2 Barcelona

Je, hii ni tafsiri rahisi ya kuwa La Liga ni ligi dhaifu kuliko EPL?

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Vigogo wa Ulaya Kukipiga Leo Kwenye UEFA

Dani Carvajal aondoka Madrid baada ya miaka 23

MICHAEL OWEN: Ni mapema mno kumfukuza Carrick Manchester United

Kunyoa kumenipa faragha mtaani, watu hawanitambui – Haaland