Home KIMATAIFA Mke wa Amorim alalamika mme wake kunyanyaswa na mashabiki

Mke wa Amorim alalamika mme wake kunyanyaswa na mashabiki

0
31

šŸ—£ļøMke wa Ruben Amorim, Maria JoĆ£o: ā€œRuben amekuwa akikosa usingizi tangu alipokuja Uingereza.

“Sio rahisi kamwe. Watu wanapaswa kuelewa kwamba, tumekatishwa tamaa na unyanyasaji anaopata. Nilimuuliza, Je, yote haya yanafaa, akasema ndivyo alivyojisajiliā€ šŸ˜”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here