Klabu ya Yanga imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu mpya baada ya kumtambulisha rasmi kiungo mkabaji wa Mlandege, Abdulnassir Mohammed Abdallah, maarufu kama “Casemiro”, kwa mkataba wa miaka…
Browsing: KITAIFA
YANGA SC hawana jambo dogo mara baada ya kumalizana na mashine ya mabao ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhamiwaniwa na NBC. Msimu wa 2024/25 nyota…
WAKATI Azam FC ikimpigia hesabu aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama ikiwa ni pendekezo pia la kocha wa timu hiyo, Florent Ibenge, kikosi hicho kinakabiliwa…
YANGA inaendelea na marekebisho kadhaa ya kiufundi kwenye kikosi chake kuelekea kwenye maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa. Mabingwa hao…
NDOTO ya mshambuliaji wa Simba SC na Taifa Stars, Kibu Dennis kucheza soka la kulipwa Marekani inakaribia kutimia baada ya klabu ya Nashville kumwongezea wiki ya…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC msimu wa 2025/26 wameweka wazi kuwa mpango kazi wa kufanya usajili upo chini ya Kocha Mkuu,…
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekamilisha dili lao na kiungo kiraka Mudathir Yahya. Mudathir…
Aliyekuwa mtathimini viwango ‘Performance Analysist’ wa klabu ya Simba raia wa Zambia Culvin Mavunga ametangaza kuondoka ndani ya klabu hiyo baada ya misimu mitano aliyodumu ndani…
Timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars imejiondoa kwenye mashindano ya CECAFA yanayojumuisha timu nne, yaani Tanzania, Kenya, Uganda na Senegal ikiwa ni masaa machache kabla…
CV ya Moussa Balla Conte Mchezaji Mpya wa Yanga Sc 2025/2026 Klabu ya Yanga imekamilisha dili la kiungo wa ulinzi mwenye uwezo mkubwa, Moussa Balla Conte,…