KITAIFA
-
AZIZ KI ATOBOA UKARIBU WAKE NA CHAMA ULIPOANZIA
MFUNGAJI Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, aziz ki, amefichua siri baina yake na mchezaji mpya kwenye klabu…
Read More » -
LOMALISA ALIA NA YANGA KUMSALITI
LICHA ya kupata dili la kuichezea G.D. Sagrada Esperanca ya Angola, beki wa kushoto aliyeachwa Yanga, Joyce Lomalisa amelia na mabosi wa…
Read More » -
AZAM FC WANA IMANI KUBWA KINOMANOMA
HASHEEM Ibwe, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa maandalizi ambayo yanafanyika kuelekea msimu ujao yanawapa nguvu ya kuamini kwamba…
Read More » -
PACOME KUONDOKA YANGA?..KWANINI HAYUPO NA WENZAKE SOUTH!
BAADA ya sintofahamu ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kutoongozana na kikosi cha timu hiyo kwenda Afrika Kusini, Tumezinyaka sababu ziliyomfanya…
Read More » -
KAMPUNI YA MICHEZO BETWINNER YAZINDULIWA TANZANIA
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya Betwinner imezinduliwa rasmi nchini Tanzania, ikileta fursa mpya na za kipekee kwa wateja wa…
Read More » -
AZAM YASAJILI WA KIUNGO AKITOKEA CR BELOUIZDAD YA ALGERIA
Klabu ya Azam imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Mamadou Samake kwa mkataba wa miaka miwili akitokea kwa miamba ya…
Read More » -
MAHAKAMA YAKUBALI OMBI LA KLABU YA YANGA KESI KUSIKILIZWA UPYA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imekubali ombi la klabu ya Yanga ya kusogezwa mbele kwa muda…
Read More » -
APR YA RWANDA YAFIKA FAINALI ZA CECAFA
Klabu ya APR Fc ya Rwanda imetinga fainali ya CECAFA Kagame Cup kufuatia ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Al…
Read More » -
SIMBA YATAMBA KUSHUSHA MASHINE MPYA ZA KAZI
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa wachezaji wapya ambao wametambulishwa watafanya kazi kubwa kwa kushirikiana na wengine katika mechi za ushindani kitaifa na…
Read More » -
YANGA KAMILI KWA MECHI ZA KIMATAIFA AFRIKA KUSINI
NAHODHA msaidizi wa Yanga Dickson Job ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mechi zote za kirafiki kimataifa ambazo watacheza nchini Afrika Kusini ikiwa ni mwendelezo…
Read More »