KITAIFA
-
HII HAPA, SABABU YA “KIBU DENIS” KUTOWASILI KAMBINI, SASA ANAIKANDA SIMBA
Rashid Yazid, Msimamizi wa Kibu Denis amezungumza na Sokaleo.co.tz kwa mara ya kwanza tangu sakata la Kibu Denis kutowasili kambini…
Read More » -
KAMPUNI YA MATI SUPER BRANDS LIMITED YADHAMINI TIMU YA FOUNTAIN GATE
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi iliyopo mjini Babati Mkoani Manyara imedhamini timu ya mpira wa miguu…
Read More » -
KIBU HAJARIPOTI KAMBINI, TUTAMUADHIBU – SIMBA
Klabu ya Simba leo Julai 23,2024 imetoa taarifa kuwa Mchezaji wake, Kibu Denis Prosper hajaripoti kambini kwa ajili ya maandalizi…
Read More » -
YANGA KWENYE KAZI KWA MARA NYINGINE TENA
BAADA ya kete ya kwanza kupoteza katika Mpumalanga Premier International Cup, Yanga inatarajiwa kuwa na kazi nyingine kusaka ushindi kwenye mchezo wa kimataifa…
Read More » -
SIMBA DAY UBAYA UBWELA, VIINGILIO HIVI HAPA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa uzinduzi wa Simba Day 2024 utafanyika Morogoro na safari inatarajiwa kuwa Julai 24 2024…
Read More » -
HAJI MANARA ARUDI YANGA NA KAULI YA KUMKATAA ALI KAMWE.
Haji Manara akizungumza na wanahabari Serena Hotel, jijini Dar es Salaam amesema adhabu yake ya kufungiwa kujihusisha na soka kwa kipindi…
Read More » -
MIDO “FUNDI” WA TWIGA STARS KUCHEZA TIMU INAYOSHIRIKI UEFA
Kiungo mshambuliaji ‘fundi’ wa timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania Diana Lucas Msewa mwenye umri wa miaka 21 anatajwa…
Read More » -
MAPYA YAIBUKA KWENYE KESI YA ENG HERSI KUTAKIWA KUJIUZULU YANGA
MKURUGENZI wa Sheria wa Yanga, Simon Patrick amesema wameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu kuwapa muda na kupitia shauri la…
Read More » -
SWALA LA AWESU KASAJILIWA KIHUNI…? MAJIBU YA SIMBA HAYA HAPA
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefafanua juu ya sintofahamu kuhusu usajili wa aliyekuwa kiungo…
Read More » -
TIMU YA DARAJA LA PILI MISRI KUKIPIGA NA SIMBA LEO
KOCHA Mkuu wa Simba,Fadlu Davids leo anatarajia kujaribu siraha zake dhidi ya El Qanah inayoshiriki ligi daraja la pili nchini…
Read More »