Ruka hadi maudhui
SOKALEO

TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

Chikao
TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

Inter Miami wanapanga kumsajili kiungo wa Manchester City Bernardo Silva.

Kulingana na TyC Sports, klabu hiyo ya Marekani inatumai kumnasa kwa uhamisho wa bila malipo msimu huu wa joto lakini itakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa vilabu vya barani Ulaya.

Mkataba wa Silva na City unamalizika mwishoni mwa msimu huu, na kuna uwezekano mkubwa kwamba huenda akashika njia.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 amekuwa akiongea kuhusu nia yake ya kutafuta changamoto mapya nje City, hivyo uwezekano wa kuongeza mkataba wake wa kukaa Etihad Stadium ni mdogo.

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Vigogo wa Ulaya Kukipiga Leo Kwenye UEFA

Dani Carvajal aondoka Madrid baada ya miaka 23

MICHAEL OWEN: Ni mapema mno kumfukuza Carrick Manchester United

Kunyoa kumenipa faragha mtaani, watu hawanitambui – Haaland