Klabu ya Yanga imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu mpya baada ya kumtambulisha rasmi kiungo mkabaji wa Mlandege, Abdulnassir Mohammed Abdallah, maarufu kama “Casemiro”, kwa mkataba wa miaka mitatu. Usajili wa kiungo huyo mahiri ulimalizika tangu Julai 2, 2025, lakini klabu hiyo imemtambulisha ras
YANGA inaendelea na marekebisho kadhaa ya kiufundi kwenye kikosi chake kuelekea kwenye maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara mara nne mfululizo, inaripotiwa kwamba wataweka kambi ya maandalizi nchini Rwanda wiki chache zijazo. Lakini habari
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekamilisha dili lao na kiungo kiraka Mudathir Yahya. Mudathir Yahya mkataba wake ulikuwa umeisha mara baada ya msimu kufika ukingoni alikuwa kwenye mazungumzo na mabosi wa timu hiyo kuhusu kuongeza mka
KHALID Aucho kiungo mkabaji wa Yanga SC huenda akaongeza mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo yenye maskani yake Jangwani. Yanga SC ni mabingwa wa ligi msimu wa 2024/25 na miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa kwenye kikosi cha kwanza ni Aucho. Baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700, Aucho
MABINGWA mara 31 ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC inatajwa kuwa imefikia makubaliano na kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kwa ajili ya msimu ujao baada ya kufikia makubalian mazuri. Tetesiz za hivi karibuni zilieleza kiungo huyo kuwepo katika mazungumzo na Simba kwa ajili y
Tetesi Za Usajili Yanga Leo 2025/2026 | Habari Mpya za Usajili Yanga SC Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League), Yanga SC, wameanza harakati kabambe za kuimarisha kikosi chao kwa msimu wa 2025/2026. Hii ni baada ya baadhi ya wachezaji wao muhimu kuondoka rasmi, hali iliyowal
Huyu Hapa Kocha Mpya wa Yanga 2025/2026: CV Yake ni Moto Klabu ya Yanga SC imethibitisha rasmi kuwa tayari ina kocha mpya kwa ajili ya msimu wa 2025/2026. Ingawa jina lake bado halijawekwa wazi hadharani, taarifa zinaeleza kuwa kocha huyo tayari yupo nchini Tanzania na anaendelea kuishi kwenye hotel
Dar es Salaam, Tanzania – Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Msemaji wake, Alikamwe, leo imezindua rasmi kampeni mpya iitwayo “Tofali la Ubingwa” inayolenga kuchangisha fedha kutoka kwa mashabiki na wanachama ili kusaidia timu katika usajili wa wachezaji wenye ubora wa hali ya juu. Akizungumza wakati wa
Kocha Mpya wa Yanga 2025/2026: Siri Yafichuka Jangwani! KLABU ya Yanga SC imethibitisha kuwa tayari imepata Kocha Mpya wa Yanga kwa msimu wa 2025/2026, ambaye sasa ndiye anasimamia kikamilifu harakati za usajili kuelekea msimu mpya wa mashindano. Ingawa jina lake halijatangazwa rasmi, kocha huyo tay
Mwaka uliopita, Chama cha Umoja wa Vilabu Afrika (ACA) chini ya uongozi wa Eng. Hersi Said, kilifanikiwa kushawishi CAF kutoa dola 50,000 kwa kila klabu iliyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho (CAF CC) katika hatua ya awali. Kwa msimu huu mpya, ACA imeendelea kupigania m
Klabu ya Yanga imejibu mapigo baada ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kudai klabu hiyo fedha zao za zawadi katika mashindano mbalimbali zikatwe kulipia malipo wanayotakiwa kuilipa kwa TFF huku ikidai kuwa haijawahi kulipwa fedha yoyote ya Ubingwa wa Kombe la Shirikisho kwa Misimu mitatu mfululizo
BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Aziz Ki taarifa kueleza kuwa anaondoka ndani ya kikosi hicho kuelekea Wydad inaelezwa kuwa kuna nyota mwingine tena anaondoka katika kikosi hicho. Aziz Ki amekuwa kwenye mwendo mzuri ndani ya Yanga SC akiwa kacheza jumla ya mechi 114 na kutoa pasi 57 za mabao