Home KITAIFA YANGA YAANZA MSIMU KWA SEMINA

YANGA YAANZA MSIMU KWA SEMINA

275
0

Kuelekea msimu wa 2025/26, Uongozi wa Young Africans leo asubuhi umekutana na Benchi la ufundi, wachezaji na watendaji wa Klabu kwa ajili ya utambulisho na semina kuhusu historia, matarajio na majukumu ya kila mmoja ndani ya Klabu

Hafla hii imefanyika kwenye hoteli ya Rotana, Jijini Dar Es Salaaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here