Home KITAIFA YANGA YAPANGIWA NA WA ANGOLA CAF KITAIFA YANGA YAPANGIWA NA WA ANGOLA CAF By Chikao - August 10, 2025 357 0 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Mabingwa wa soka la Tanzania, Yanga SC wamepangiwa timu ya Wiliete Benguela ya nchini Angola. Ratiba hiyo ya CAF imetoka leo na Yanga SC wameangukia kwa vigogo hao wa soka la nchini Angola. Advertisement