Yanga SC
-
KIMATAIFA
YANGA KUKIPIGA LEO NA KAIZER CHIEFS KATIKA TOYOTA CUP
Klabu ya Yanga itakipiga na Kaizer Chiefs siku ya leo 28 Julai 2024 katika mchezo wa Toyota Cup. Mchezo huu…
Read More » -
KITAIFA
MASTAA WALIOONDOKA NA WAKARUDI BONGO, SIMBA NA YANGA ZIKAWABEBA TENA
UTAMU wa Ligi kuu ya NBC unazidi kuongeza na sasa ni miongoni mwa Ligi 6 bora za Afrika, hali hii inawafanya…
Read More » -
KITAIFA
HIZI HAPA JEZI MPYA ZA YANGA MSIMU WA 2024/2025
Yanga Sc wametambulisha uzi wao mpya wa nyumbani utakaotumika msimu wa 2024/25 🔰 Jezi ambazo bado zinatengenezwa na Mbunifu wao…
Read More » -
KITAIFA
ALLY KAMWE: “TUNAUTAKA UBINGWA WA TOYOTA”
“Japo mchezo wetu na Kaizer Chief ni wa maandalizi ya msimu (Pre Season) ila mimi ningetamani tulibebe kombe, hii hadi…
Read More » -
KITAIFA
AUCHO HAJATENDEWA HAKI, YANGA YAFUNGUKA ISHU YAKE, WAMEMUONEA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa ulitamani kiungo Khalid Aucho angekuwa kwenye orodha ya wanaowania tuzo ya kiungo bora kutokana na…
Read More » -
KITAIFA
YANGA KWENYE KAZI KWA MARA NYINGINE TENA
BAADA ya kete ya kwanza kupoteza katika Mpumalanga Premier International Cup, Yanga inatarajiwa kuwa na kazi nyingine kusaka ushindi kwenye mchezo wa kimataifa…
Read More » -
KITAIFA
MAPYA YAIBUKA KWENYE KESI YA ENG HERSI KUTAKIWA KUJIUZULU YANGA
MKURUGENZI wa Sheria wa Yanga, Simon Patrick amesema wameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu kuwapa muda na kupitia shauri la…
Read More » -
KITAIFA
LOMALISA ALIA NA YANGA KUMSALITI
LICHA ya kupata dili la kuichezea G.D. Sagrada Esperanca ya Angola, beki wa kushoto aliyeachwa Yanga, Joyce Lomalisa amelia na mabosi wa…
Read More » -
KITAIFA
MAHAKAMA YAKUBALI OMBI LA KLABU YA YANGA KESI KUSIKILIZWA UPYA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imekubali ombi la klabu ya Yanga ya kusogezwa mbele kwa muda…
Read More » -
KITAIFA
YANGA KAMILI KWA MECHI ZA KIMATAIFA AFRIKA KUSINI
NAHODHA msaidizi wa Yanga Dickson Job ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mechi zote za kirafiki kimataifa ambazo watacheza nchini Afrika Kusini ikiwa ni mwendelezo…
Read More »