Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema anamfahamu vizuri mwenzake wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, kutokana na historia ya kukutana mara kadhaa katika soka la Afrika Kusini. Barker amesema uzoefu huo wa muda mrefu unaweza kufanya Dabi ya Kariakoo inayotarajiwa kuchezwa Oktoba 10, 2026 kuwa mche
Shabiki maarufu wa klabu ya Yanga, Mzee Mpili, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika eneo la Ikwiriri, Wilaya ya Rufiji. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, Mzee Mpili alikuwa akisumbuliwa na changamoto mbalimbali za kiafya, ikiwemo matatizo ya mgongo na kiuno, pamoja na maradhi yanayohusiana
Nahodha wa Yanga SC, Bakari Nondo, amesema sababu kubwa ya kurejea kwenye kiwango bora ni maandalizi mazuri pamoja na ushirikiano anaoupata kutoka kwa wachezaji wenzake. Nondo alianza katika kikosi cha kwanza cha Yanga SC kwenye mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone U
MSAFARA wa kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pedro unatarajiwa kuanza safari mapema leo Novemba 24,2025 kuelekea nchini Algeria. Yanga SC baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AS FAR Rabat ina kibarua kingine kwenye kundi B Novemba 28,2025 mchezo wa kwanza ugenini katika hatua y
Mshambuliaji wa Yanga SC, Clement Mzize, ataukosa mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC FC utakaopigwa Novemba 9, 2025 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, kutokana na majeraha ya goti. Mzize, ambaye amefanyiwa upasuaji wa goti lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu, anatarajiwa kuwa n
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, amefunguka kuwa wakati anapewa jukumu la kuiongoza klabu hiyo, baadhi ya wanachama na mashabiki hawakuwa na imani naye kutokana na umri wake kuwa mdogo ukilinganisha na viongozi waliowahi kuiongoza timu hiyo hapo awali. Akizungumza kuhusu safari yake ndani
Djigui Diarra Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba 2025/2026 Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC, Djigui Diarra, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu wa mwaka 2025/2026, baada ya kuonesha kiwango cha juu katika michezo miwili ambayo timu
WAKATI tetesi zikieleza kuwa huenda Romain Folz akafutwa kazi ndani ya kikosi cha Yanga SC rekodi zinaonyesha kuwa amekiongoza kikosi kwenye mechi 6. Katika mechi hizo ushini ni mechi tano na aliambua sare mchezo mmoja wa ligi ugenini dhidi ya Mbeya City uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Sababu k
WAKATI tetesi zikieleza kuwa kuna uwezekano wa Roman Folz, Kocha Mkuu wa Yanga SC akakutana na Thank You taarifa zinaeleza kuwa bado yupoyupo ndani ya kikosi hicho. Yanga SC ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara ya NBC msimu wa 2025/26 wamecheza mechi mbili pekee ambazo ni dakika 180. Mechi ya ufung
Kubwa La Maadui,ROMAN FOLZ Yes nikweli mbinu zake sasa hivi ni Kupiga Mbele and InshaAllah. Lakini Kocha Kumuona hafai Kabisa baada tu ya Mechi Mbili za Ligi nafikri ni Mapema sana..✍️ Kila Kocha anahitaji Muda . Mpira wa Miguu sio Kama Kupika Chai.Just give Roman Folz time ili Mwisho tuhukumu Kwa h
Beki mpya wa Yanga, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, amefunguka kuwa ni kweli kuna ushindani mkali wa namba kati yake na Chadrack Boka, lakini pia akieleza hadhani kama atakuwa anaanzia benchi mechi zote kwani kuna mashindano mengi sana mbele yao. Tshabalala, aliyejiunga na Yanga msimu huu akitokea Sim
Nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, amesema wanataka kuanza kwa kishindo mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu tanzania dhidi ya Pamba Jiji kama walivyofanya kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuichakaza Wiliete de Benguela ya Angola mabao 3-0. Akizungumza kuelekea mchezo huo utakaopigwa kesho Jumatano,
IBRAHIM Bacca beki wa Yanga SC amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Williete SC ya Angola unaotarajiwa kuchezwa leo Septemba 19 2025. Septemba 18 2025 kikosi cha Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz kilifanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wao wakiwa ug
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu Romain Folz, wameondoka nchini kuelekea Angola kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Septemba 16, 2025 majira ya saa 11:00 jioni, Yanga SC walifanikiwa kutetea taji la Ngao ya Jamii
YANGA SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz imetwaa taji la Ngao ya Jamii kwa ushindi mbele ya watani zao wa jadi Simba SC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Bao pekee la ushindi kwa Yanga SC limefungwa na Pacome dakika ya 53 akiwa ndani ya 18 akimfunga kipa Moussa Camara ambaye alianza kikosi