JOTO la Kariakoo Dabi linazidi kupanda kwa kasi ambapo watani hawa wa jadi wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa, Septemba 16 2025 katika mchezo wa fainali. Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, Cliford Ndimbo ametaja orodha ya waamuzi ambao watakuwa kwenye mchezo huo muhimu wa ufunguzi wa ms
Yamebaki masaa kabla ya mchezo wa Kariakoo Dabi kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 16 2025 ikiwa ni mchezo wa Ngao ya Jamii. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 Yanga SC walitwaa taji hilo kwa ushindi kwenye mchezo wa fainali mbele ya Azam FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Simba SC iligotea
Kila msimu wa mpira wa miguu unapokaribia kuanza nchini Tanzania, macho na masikio ya mashabiki huzamia kwenye matamasha mawili makubwa Simba Day na Yanga Day (Siku ya Wananchi). Matamasha haya yamekuwa zaidi ya hafla za michezo, yamegeuka kuwa majukwaa ya burudani, biashara na ubunifu huku kila kla
Klabu ya Yanga imetangaza kuingia mkataba na kampuni ya BlackBird kutokea Rotterdam Uholanzi kwa ajili ya teknolojia ya Akili Mnemba ‘Artificial Intelligence’ (AI), mfumo ambao utaisaidia klabu hiyo kukusanya taarifa za wachezaji wake. Rais wa klabu hiyo Eng. Hersi amesema klabu hiyo imeingia mkatab
YAKIWA yamebaki masaa kabla ya tukio la Yanga Day kufanyika, kiungo mpya katika timu hiyo amejipa kazi nyingine ngumu ili awe imara zaidi. Ikumbukwe kwamba kesho Septemba 12, Yanga SC itakuwa na tukio la utambulisho wa wachezaji wapya na wale waliokuwa katika kikosi msimu wa 2024/25. Offen Chikola a
Kikosi Kamili cha Yanga 2025/26 | Wachezaji Wote wa Yanga Licha ya kuibuka na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, timu ya wananchi Young Africans SC (Yanga SC) imeendelea kuonesha kiu na dhamira ya kutaka kurudia mafanikio hayo kwa kishindo msimu wa 2025/2026. Uongozi wa klabu umefanya mabo
Kuelekea maadhimisho ya Wiki ya Mwananchi, Klabu ya Yanga imetangaza kuwa siku ya Jumanne katika Makao Makuu yake yaliyopo Jangwani kutafanyika zoezi la uchangiaji damu salama kwa lengo la kusaidia watu wenye changamoto ya upungufu wa damu. Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa Habari na Maw
Klabu ya Yanga imesema haifanyi utani kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii, hivyo Kocha Mkuu, Romain Folz, amekuwa na ‘programu’ nne tofauti za maandalizi kuelekea mechi hiyo inayotarajiwa kupigwa, Septemba 16, mwaka huu, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Ofisa Habari wa Klabu hiyo, Ali Ka
KAULI ya Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids kwamba kikosi chake kinakosa mchezaji mwenye uwezo wa kipekee wa kuamua matokeo ya mechi (maarufu kama X-Factor) imeibua majibu kutoka kwa wapinzani wao wa jadi, Yanga SC. Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe, hakusita kumjibu Davids kwa tambo akibainisha kuwa n
Meneja Habari na mawasiliano Klabu ya Yanga ametangaza kauli mbiu mpya kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2025/26 ikiwa ni siku chache kabla ya kuazimisha siku ya mwananchi septemba 12 mwaka huu. “Wanayanga sasa wamevuka level ya kuwa na Slogan za kupeana matumaini, tumekubaliana huu ni msimu wa v
Mchambuzi wa soka @mzeewajambia ameandika ujumbe kuhusu kauli ya Kocha Mkuu wa Simba aliyoisema hivi karibuni ya kumuhitaji mchezaji mwingine kwenye eneo lake la ushambuliaji. “Juzi Fadlu Davids aliposema anahitaji xfactor Player mmoja ili Kikosi chake Kikamilike nafikiri hakueleweka Vizuri. Manake
ALIYEKUWA beki wa kushoto wa Yanga SC, Nickson Kibabage tayari amejiunga na Singida Black Stars kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya mara baada ya kuachana na timu hiyo, katika msimu ujao. Beki huyo alikuwa katika kikosi cha Yanga SC msimu wa 2024/25. Alitwaa taji la ligi chini ya Kocha Mkuu Miloud
Klabu ya Bandari ya Kenya imeripotiwa kuwa wageni wa Mabingwa wa Tanzania klabu ya Yanga kwenye kilele cha WIKI YA MWANANCHI sherehe zitakazofanyika Septemba 12, 2025, Mechi itachezwa Benjamin Mkapa. Bandari anayoichezea kipa wa zamani wa Yanga Farouk Shiklao inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa
Klabu ya Yanga imeanza mikakati ya kuhakikisha inapata ushindi katika mchezo wake wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani zao wa jadi, Simba, unaotarajiwa kupigwa, Septemba 16, mwaka huu, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Arafat Haji, amesema kuwa mipango na mikakati ya mechi hiyo im
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wameanza kupiga hesabu kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC. Mchezo huo unasubiriwa kwa shauku kubwa unatarajiwa kuwa na ushindani ndani ya dakika 90 kwa wababe hao katika uwanja kusaka ushindi. Inaelezwa kuwa tayari Kocha Mkuu wa Y