Ukiwa muwekezaji mzuri wa kubashiri michezo, basi unatambua kwamba kila nafasi ya kuongeza ushindi unayoipata ni kama dhahabu. Meridianbet, kwa kulitambua hilo inawapa wateja wake fursa ya kipekee kupitia huduma ya Bet Boost, ambayo inaleta mapinduzi ya kuongeza odds na kukuweka hatua moja karibu na
Manchester City wanafikiria namna ya kuuteka nyara uhamisho wa Chelsea wa kumnunua winga wa RB Leipzig wa Uholanzi Xavi Simons, 22. (Sport) Brighton watahitaji zaidi ya pauni milioni 100 kwa Carlos Baleba baada ya Manchester United kuonyesha nia ya kumnunua kiungo huyo wa kati wa Cameroon mwenye umr
Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC, Hasheem Ibwe, amesema moja ya uwekezaji mkubwa wa maana ilioufanya msimu huu ni kumpata, Florent Ibenge, ambaye wana matumaini naye kuwa safari hii atawapeleka kwenye hatua za makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza. Ibwe amesema hayo siku chache ba
Mchezo wa Madagascar na Afrika ya Kati umemalizika kwa Madagascar kushinda 2-0. Masikitiko makubwa ni namna mashabiki wa soka Tanzania hususani Dar es Salaam walivyojikausha kujitokeza viwanjani hususani kwenye mechi za wageni na kuibua sura mpya ya mapenzi ya soka kwa Watanzania kama ambavyo wageni
Klabu ya Royal Charelorioi ya nchini Ubelgiji imetuma ofa ya USD 750,000 (Tsh Bilioni 1.9) kwenda kwenye klabu ya Gor Mahia ya Kenya ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo na timu ya Taifa ya Kenya Austin Othiambo. Gor Mahia bado hawaijibu ofa hiyo.Lakini kwa mujibu wa tetesi zinaele
“Yanga walishataka kumpeleka Clement Mzize huko Singida kwa mkopo na tayari walishamuingiza kwenye Mfumo ‘system’ ya TFF ila ni mimi nikamwambia Nabi usikubali huyo Mtoto aende Singida.” “Walitaka kumtoa wakati hajafanya hata mazoezi na timu kubwa.Hata Marseille walipotuma barua kumtaka, wao wakasem
Everton wametangaza kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Jack Grealish kwa mkopo kutoka Manchester City. Mwingereza huyo mwenye umri wa miaka 29 ataitumikia The Toffees msimu mzima wa 2025/26 na atavaa jezi namba 18. Grealish, ambaye ameshinda mataji makubwa akiwa na City ikiwemo Ligi Kuu mara
Bodi ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) imeipiga Kenya faini ya dola 50,000 za Marekani (sawa na takribani TZS milioni 127.8) kutokana na makosa ya kiusalama yaliyojitokeza katika mchezo dhidi ya Morocco uliofanyika kwenye Uwanja wa Moi, Kasarani. CAF imeonya kuwa iwapo kasoro hizo
KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26 ni Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC ameachiwa msala kwenye suala la usajili baada ya kupewa jukumu hilo kuhakikisha kwamba kila kitu anasimamia mwenyewe. Simba SC imeweka kambi Misri kwa maandalizi ya msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku wakifanya
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi kuwa tamasha lao la kila mwaka la ‘Singida Big Day’ litafanyika mwaka huu kwa mara ya kwanza jijini Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, tarehe 6 Septemba 2025. Black Stars wanafanya tamasha hilo nje ya Singida ni kufuatia ukarabati unaoendelea kat
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden Alexander Isak amesisitiza kuwa hatacheza tena Newcastle – hata kama hatapata timu kwenye dirisha hili la uhamisho. Kulingana na David Ornstein, mshambuliaji huyo anachukulia kazi yake ya #NUFC kuwa imekamilika. Hata kama Newcastle watakataa kumuuza, hana hamu ya
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa kuna ugumu wa kufanya sherehe za wiki ya wananchi kwa mwaka huu kutokana na ugumu wa ratiba na upatikanaji wa uwanja. “Tunapamba siku ya Wananchi iwepo lakini kuna changamoto nyingi tunapitia, ukiangalia mashindano ya CHAN y
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetishia kuhamisha mechi zilizosalia za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) kutoka Kenya baada ya kudorora mara kwa mara kwa usalama katika Uwanja wa Kimataifa wa Michezo cha Moi, Kasarani. CAF ilitaja ukiukwaji mwingi, ikiwa ni pamoja na kukanyagana kulikosababishw
Rais wa Kenya, William Ruto, leo amekutana na kikosi cha Harambee Stars na kutoa ahadi nono kuelekea mechi ya mwisho ya Kundi A ya michuano ya CHAN 2024 dhidi ya Zambia, itakayopigwa Jumapili katika Uwanja wa Kasarani. Ruto amethibitisha kutimiza ahadi yake ya awali ya kuwapa wachezaji KSh milioni 1