Home KITAIFA SIMBA YAMTOA OMARY OMARY KWA MKOPO KWENDA MASHUJAA FC KITAIFA SIMBA YAMTOA OMARY OMARY KWA MKOPO KWENDA MASHUJAA FC By Chikao - July 12, 2025 28 0 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumtoa kwa mkopo kiungo Omary Omary kwenda kuitumikia Mashujaa Fc kwa msimu ujao wa 2025/26. Omary anarejea Mashujaa Fc takribani mwaka mmoja tangu ajiunge na Mnyama mnamo Juni 22, 2024.