Baada ya miaka 9 ya kuwa kwenye mahusiano, nguli wa soka Cristiano Ronaldo amemvalisha rasmi pete ya uchumba mpenzi wake Georgina Rodriguez, hii ikimaanisha kuwa ndoa ya wawii hao inanukia. Ronaldo na Rodriguez wana watoto wanne pamoja mapacha Eva Maria na Mateo (aliyezaliwa 2017), Alana (aliyezaliw
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wameanza kazi kupima kikosi chao wa kupata ushindi kwenye mchezo wa kirafiki. Simba SC chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids kambi yao ni nchini Misri kwa maandalizi ya msimu wa 2025/26. Agosti 11 2025 walicheza mc
Ifahamu Gaborone United Wapinzani wa Simba Ligi ya Mabingwa CAF 2025/2026 Wababe wa kulisakata kabumbu wa Tanzania Bara na Visiwani Simba SC, Yanga SC, Azam FC, Singida Black Stars, KMKM na Mlandege SC wameshajua wapinzani wao kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kwa hat
Wote tunajua inapofika hatua ya mikwaju ya penati, ustadi wa golikipa ndio huamua mshindi wa mchezo. Jambo hilo ndilo lililodhihirika juzi kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii nchini Uingereza ambapo akili na ustadi wa golikipa wa Crystal Palace Dean Henderson uliweza kuizawadia taji la Ngao ya Jamii Shie
Mshambuliaji mpya wa Simba Jonathan Sowah jana alifungia bao timu hiyo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Carabat FC. Simba iko kambini nchini Misri kujiandaa na msimu mpya, jana ilicheza mchezo huo wa na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. Bao lingine katika mchezo huo limewekwa kimiani na kiungo mpya
Klabu ya kaskazini mwa London ya Tottenham sasa inahusishwa na mmoja wa washambuliaji chipukizi bora zaidi wa kiBrazil, Savinho wa Manchester City. Kwa mujibu wa The Athletic, Spurs wamewasiliana na Man City kuhusu nia yao ya kumsajili mchezaji huyo na inaelezwa mazungumzo yamekuwa yakiendelea katik
Je unajua kuwa zimebakia siku 4 pekee za kuanza kumsaka bingwa wa Laliga Hispania?. Basi anza safari yako ya ushindi ukiwa na wakali wa ubashiri Tanzania tengeneza jamvi lako la kuchagua mshindi wako unayeona atanyakua taji hilo mwisho wa msimu. Real Madrid ndio ambao wanapewa nafasi ya kwanza kabis
SIMBA SC bado ipo sokoni kusaka wachezaji wapya kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kikosi cha Simba SC kwa sasa kipo Misri kwa maandalizi ya msimu mpya ambapo inaelezwa kuwa huenda Joshua Mutale akaachwa kuelekea msimu mpya kupisha nafasi ya mchezaji mpya. Mbali na
….. OFA IMEKATALIWA. Jana tulilala na neno hili. Barua za Waarabu zimeendelea kupishana pale Jangwani. Inaingia barua hii, baada ya muda inaingia barua nyingine. Zote zinazungumzia upatikanaji wa Mzize. Wanachokifanya Yanga SC ni kumtafuta yule mwenye kisu kikali ndio ale nyama. Mimi siamini kama Mz
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amesema kuwa wamefanya maboresho makubwa kwenye kikosi kwa kupata saini za wachezaji ambao watakuwa na kazi kupambana kwenye mashindano ambayo watashiriki. Simba SC msimu wa 2024/25 ilishiriki Kombe la Shirikisho Afrika na kugotea hatua ya fainali ikiwa nafasi ya
Mshambuliaji na nyota wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo amemrushia maua yake mchezaji mpya wa Arsenal, Viktor Gyokeres akimuita mwanasoka ‘Special’. Gyokeres alihamia Arsenal akitokea Sporting ambapo alifunga mabao 97 katika mechi zaidi ya 100 alizocheza na klabu hiyo kwenye mashindano yote. Hata hivyo
Washindi wa pili wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita Simba SC wamepangwa kucheza dhidi ya timu ya Gaborone United Botswana. Simba SC wamepangwa kuanzia ugenini kwa ratiba ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na hiyo inakuwa mara ya pili kwa miaka ya hivi karibuni Simba SC kupangiw
Mabingwa wa soka la Tanzania, Yanga SC wamepangiwa timu ya Wiliete Benguela ya nchini Angola. Ratiba hiyo ya CAF imetoka leo na Yanga SC wameangukia kwa vigogo hao wa soka la nchini Angola.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Azam FC Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’ amethibitisha ujio wa kiungo wa zamani wa Simba SC, Sadio Kanoute ambaye anakuja kujiunga na Azam FC. Kiungo huyo raia wa Mali atawasili kesho nchini kwa ajili tataratibu za mwisho za kujiunga na kikosi hicho cha Azam FC