Anayetaka kuliona pambano langu dhidi ya bondia wa ndani anifuate mimi tuzungumze na asipite kwa mtu mwingine yeyote. Niko tayari kucheza lakini lazima ninachotaka kulipwa nilipwe na promota asinikadilie. Kuna bondia akiingia makubaliano ya pambano la Mil 9 anafanya visomo kila siku ili makubaliano
Wajumbe wa mkutano mkuu TFF wamemthibitisha Wallace Karia kwa kumpigia kura za ndio kwa asilimia 100 kuwa Rais wa soka Nchini kwa miaka mingine minne. Karia alikua mgombea pekee wa nafasi wa Urais, kufuatia wagombe wengine kuenguliwa kwa kukosa vigezo vya kikanuni.
VINARA wa kundi B Tanzania kesho watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Afrika ya Kati mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Stars ina uhakika wa kucheza hatua ya robo fainali. Kwenye mechi tatu imekusanya pointi tisa ikipata ushindi kwenye mechi zote muhimu. Ilifungua pazia Ag
Leo Alhamisi, kikosi cha Azam FC kikiwa Karatu, mkoani Arusha, kimehitimisha kambi yake ya wiki mbili ya maandalizi ya msimu mpya kwa mtindo wa kipekee – kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro. Ziara hiyo imekuwa sehemu ya kujivinjari na kuendeleza utalii wa ndani, ikiwapa wachezaji na benchi la ufundi na
Winga wa Manchester United, Jadon Sancho, yuko kwenye hatua za mwisho za kujiunga na AS Roma kwa mkopo wa mwaka mmoja.Kwa mujibu wa taarifa, thamani ya dili hilo inafikia euro milioni 20, dau ambalo AS Roma wanaamini litaivutia Manchester United kukubali. Sancho, ambaye amejiunga na Manchester Unite
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mtangazaji wa #AzamTV, Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC), baada ya kamati ya awali kumaliza muda wake. Nyembera ataiongoza Kamati hiyo ya muda ya TPBRC, yenye jumla ya w
Brighton inahitaji Pauni 100 milioni ili kumuuza kiungo wao wa kati Carlos Baleba, 21, baada ya Manchester United kuonyesha nia ya kumsajili. Baleba, aliyesajiliwa kutoka Lille mwaka 2023, amekuwa mhimili muhimu wa safu ya kiungo ya Brighton msimu uliopita akicheza mechi 33, pia alishinda tuzo ya Mc
Manchester United wanapanga mpango wa pauni milioni 50 kumnunua kiungo wa kati wa Sporting na Denmark Morten Hjulmand, 26, iwapo watamkosa mchezaji wa kimataifa wa Cameroon mwenye umri wa miaka 21 Carlos Baleba. (Sun) Tottenham wana imani kwamba wameweka pamoja dili la Eberechi Eze, 27, ambalo litaw
Wachezaji wa klabu ya Chelsea wameamua kutoa sehemu ya bonasi zao za ushindi wa Kombe la Dunia ngazi ya Klabu kwa familia za wachezaji Diogo Jota na André Silva waliofariki kwa ajali ya gari mwezi Julai 3,2025. Chelsea walitwaa taji hilo julai 13 na kuvuna zaidi ya shilingi bilioni 302 za Kitanzania
Timu ya Mamelodi Sundowns imemuaga rasmi mchezaji wao, Neo Maema aliyetumikia klabu hiyo kwa muda wa miaka 4. Kwa sasa, Maema yupo kambini na timu ya taifa ya Afrika Kusini kwenye michuano ya CHAN, akisubiri mashindano hayo kumalizika ili ajiunge na kambi ya klabu yake mpya. Duru mbalimbali za habar
Mchezaji maarufu wa kimataifa, Paul Pogba, amefanya mazoezi yake ya kwanza rasmi na wenzake wa klabu ya AS Monaco, kufuatia kujiunga kwake na klabu hiyo kutoka ligi kuu ya Ufaransa. Pogba, ambaye amejulikana kwa kiwango chake cha juu na uchezaji wa kipekee, alijiunga na Monaco ikiwa ni sehemu ya mpa
MSHAHARA wa kiungo wa Tanzania ambaye anacheza ndani ya kikosi cha Azam FC kinachotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi za nyumbani unatajwa kuwa tishio kutokana na ukubwa wake na thamani ya kiungo huyo mzawa. Ilikuwa inatajwa kuwa Yanga SC na Simba SC zilikuwa kwenye hesabu za kuwania saini ya kiu
Uongozi wa Yanga SC umetoa ufafanuzi kuwa mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa CCM tarehe 12 Agosti 2025, ulitolewa na GSM Foundation inayosimamiwa na mdhamini wa klabu, Ghalib Said Mohammed, na haukutoka kwenye hela za wanachama au mfuko wa klabu. Yanga pia imesema radhi kwa wanachama na mash
Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi mchezaji Naby Camara raia Guinea kuwa mchezaji wao kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Al Waab ya Qatar aliyojiunga nayo akitokea CS Sfaxien ya Tunisia. Camara mwenye umri wa miaka 23 ana uwezo mkubwa wa kucheza kama mlinzi wa kushoto na kiungo mkabaji tayari ame