KLABU ya Azam FC ya Tanzania imepangwa kucheza na El Merriekh Bentiu ya Sudan Kusini kwenye hatua za awali michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. KMKM ikipangwa kucheza dhidi ya AS Port ya Djibouti. Azam FC msimu wa 2024/25 ilikuwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu itakuwa katika Kombe la Sh
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC Yanga SC wanatarajiwa kuelekea Rwanda. Timu hiyo inaenda Rwanda kwa mualiko maalum kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki. Mchezo huo unatarajiwa kuwa dhidi ya kikosi cha Rayon Sports. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amesema: “Hivi karibuni tulizin
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba SC 2025/26 Jonathan Sowah raia wa Ghana ametuma ujumbe kwa mashabiki kwa kubainisha kuwa watafurahi msimu mpya. Nyota huyo yupo kambini nchini Misri chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Sowah alitambulishwa ndani ya kikosi cha Simba SC akitokea Singida Black Stars. Msimu wa
KAMA unadhani Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamemaliza usajili, bado kazi haijaisha kwa kuwa kuna wachezaji wengine wapya bado hawajatambulisha. Ikumbukwe kwamba Yanga SC ni mabingwa mara 31 wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC hii ni ligi namba nne kwa ubora Afrika.Ni point
Manchester United na Chelsea wapo kwenye mazungumzo ya kuuziana mchezaji Mu-Argentina Alejandro Garnacho. United inamthaminisha Alejandro mwenye umri wa miaka 21 kwa Pauni milioni 50, ingawa Chelsea wanaamini wanaweza kujadiliana na kumpata kwa bei ya chini zaidi. Garnacho ameambiwa atafute klabu mp
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Agosti 9 2025 inatarajiwa kucheza mchezo wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024). Huo utakuwa ni mchezo wa tatu kwa Tanzania. Ni Tanzania vs Madagascar CHAN 2024 Uwanja wa Mkapa. Mechi mbili zilizopita Tanzania ilipata u
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba amethibitisha kuwa mchezaji wao mpya ameanza kwenye kikosi cha timu yake ya Taifa katika mashindano ya CHAN na ndiye atakayekuwa Nahodha wa Taifa lake. “Mchezaji wetu mpya anaanza kwenye mechi ya Taifa lake na tena ndio nahodha…. Automatic hii timu yetu
KLABU ya Yanga ipo katika mazungumzo ya mwishoni katika kuipata saini ya winga wa Singida Black Stars, Edmund John ili awe sehemu ya kikosi hicho katika msimu ujao. Inadaiwa makubaliano binafsi kati ya mchezaji na Yanga tayari yamekamilika na mchezaji yupo tayari. Nyota huyo alikuwa tishio katika mc
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kesho Agosti 9 2025 inatarajiwa kucheza mchezo wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024). Huo utakuwa ni mchezo wa tatu kwa Tanzania. Ni Tanzania vs Madagascar CHAN 2024 Uwanja wa Mkapa. Mechi mbili zilizopita Tanzania ilipata
Kocha Mkuu wa @singidablackstars ameanza rasmi kazi ya kukinoa kikosi cha timu hiyo kuelekea msimu mpya wa mashindano wa mwaka 2025/26. Gamondi ambaye aliwahi kuwa kocha mkuu wa Yanga ameanza majukumu hayo leo akiwa na msaidizi wake Moussa N’Daw.
Jicho la kiungo mkabaji wa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ Ahmed Bakari ‘Pipino’ @_ahmed_pipino limevimba baada ya kupigwa kiwiko katika mchezo wa jana wa Stars dhidi ya Mauritania. Pipino alipata jeraha hilo lililomfanya ashindwe kuendelea na mchezo huo na akatolewa na nafasi yake a
MARCIO Maximo, Kocha Mkuu wa KMC ameweka wazi kuwa wanatambua namna ushindani ulivyo ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC hivyo muda wa maandalizi watatengeneza kikosi chenye ushindani. Timu hiyo yenye maskani yake Kinondoni inatumia Uwanja wa KMC Complex kwa mechi za nyumbani tayar
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amesema kuwa wamefanya maboresho makubwa kwenye kikosi kwa kupata saini za wachezaji ambao watakuwa na kazi kupambana kwenye mashindano ambayo watashiriki. Simba SC msimu wa 2024/25 ilishiriki Kombe la Shirikisho Afrika na kugotea hatua ya fainali ikiwa nafasi ya