INAELEZWA kuwa kuna uwezekano mkubwa mshambuliaji wa Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids huenda akaachwa katika kikosi hicho kuelekea msimu mpya. Simba SC inatajwa kuwa kwenye mazungumzo ya kuachana na mshambuliaji huyo raia wa Cameroon, Lionel Ateba kutokana na kutoridhishwa na mwendo
Uongozi wa klabu ya Simba SC umetangaza rasmi kuwa Septemba 10, 2025 itakuwa siku ya kufanyika kwa Simba Day, tamasha kubwa barani Afrika linalotumika kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji wapya, wachezaji waliopo pamoja na benchi la ufundi kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Kwa sasa, kikosi cha Simba
Msimamo wa Ligi Kuu England EPL 2025/2026 Habariforum inakuletea taarifa mpya kuhusu Msimamo wa Ligi Kuu England EPL 2025/2026. Ligi hii, maarufu kama English Premier League (EPL), imejipatia sifa ya kipekee duniani kutokana na ushindani mkali, ubora wa wachezaji, na umaarufu wa vilabu vinavyoshirik
Ratiba ya Robo Fainali CHAN 2025 | Mechi za Robo fainali CHANI Mashindano ya CHAN 2025 yanaingia katika hatua ya kukatana shoka zaidi baada ya ratiba ya mechi za robo fainali kuthibitishwa rasmi. Hatua hii ni muhimu kwani inaamua timu zitakazofuzu kuingia nusu fainali na hatimaye kuwania taji la mas
Wayne Rooney ameonya kuwa Liverpool wanapaswa kuwa makini kabla ya kukamilisha usajili wa Alexander Isak, huku mshambuliaji huyo wa Sweden akikataa kuchezea Newcastle United. Isak, mwenye umri wa miaka 25, amedhamiria kuondoka Newcastle katika dirisha hili la usajili baada ya kufunga mabao 23 kwenye
Klabu ya ENPPI ya ligi kuu Nchini Misri imetangaza kuibuka na ushindi wa mabao 4-3 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa siku ya jana jijini Cairo, Misri. Klabu ya Simba ilishiriki kwenye mchezo huo kwa mualiko maalum wa klabu hiyo katika sherehe za miaka 40 ya kuanzishwa kwa klabu ya hiyo ya ENPPI.
MSHAMBULIAJI namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi msimu wa 2024/25 Clement Mzize bado ana mkataba na Yanga SC kuelekea msimu wa 2025/26. Mzize amekuwa akitajwa kuwa katika rada za timu mbalimbali ambapo kuna timu moja kutoka Tunisia inatajwa kuweka dau kubwa mezani kupata saini yake kwa ajili ya
TIMU ya Taifa ya Tanzania inayofundishwa na Kocha Mkuu, Hemed Suleman maarufu kwa jina la Morocco itacheza na timu ya taifa ya Morocco kwenye mchezo wa robo fainali CHAN 2024 Uwanja wa Mkapa. Tanzania inaongoza kundi B ikiwa na pointi 10 baada ya mechi nne ambapo katika mechi hizo ilipata ushindi me
Klabu ya Fountain Gate imetangaza kuandaa michuano maalumu ya PRE-SEASON INTERNATIONAL TOURNAMENT, michuano yenye lengo la kuzipa maandalizi mazuri timu za ligi Kuu Tanzania. Timu zitakazoshiriki ni Fountain Gate FC, Dodoma JIJI, Tabora Utd, Coastal Union, JKU SC na CITY ABUJA FC. PRE-SEASON INTERNA
Burudani za CHAN 2024 zinaendelea hii leo kwa michezo miwili muhimu kupigwa kwenye Kundi A, mechi zote mbili zitapigwa mapema majira ya saa 9 Alasiri katika viwanja viwili tofauti. Kwenye dimba la Nyayo utapigwa mchezo kati ya DR Congo dhidi ya Morocco, timu zote zikiwa na alama 6 na kuwania nafasi
Ligi Kuu Uingereza iliyoanza jana itaendelea leo Agosti 17, 2025 kwa mechi tatu za kupigwa huku mechi kali ikiwa ile kati ya Manchester United dhidi ya Arsenal itakayochezwa katika dimba la Old Trafford. Mechi zingine leo ni; Chelsea vs Crystal Palace, saa 10 jioni, kwenye uwanja wa Stamford Bridge
Simba SC imelipa kiasi Cha USD 100,000 sawa na zaidi ya Tsh million 260 Kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji Seleman Mwalimu Kwa mkopo akitokea Wydad Casablanca. Simba SC watalazamika kumlipa Mwalimu mshahara wake wote na pia Kuna kipengele Cha kumsajili moja Kwa moja ifikapo mwisho wa msimu.
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta anatarajia kucheza mechi yake ya kwanza kwenye Ligi Kuu Ufaransa wakati klabu yake ya Le Havre itapokutana na AS Monaco. Samatta siku ya leo endapo akipata nafasi ya kuitumikia timu yake atakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kukiwasha kat
“Tulipokea ofa nyingi sana za hapa Afrika kusini kutoka kwa vilabu kama Kaizer Chiefs,Orlando Pirates na vingine vingi lakini vya nje ya Afrika kusini vikihitaji huduma ya Neo Maema” “Tumechagua Simba Sc kwasababu timu hiyo ya Tanzania mipango yake imetuvutia kwanza wanaweza kupigania ubingwa wa lig