Home KIMATAIFA RULANI MOKWENA ATIMKUA LIGI KUU YA ALGERIA KUINOA MC ALGER

RULANI MOKWENA ATIMKUA LIGI KUU YA ALGERIA KUINOA MC ALGER

116
0
Rulani Mokwena

JIUNGE KWENYE WHATSAPP CHANNEL YA SIMULIZI ZA SAUTI ZA WAKUBWA TU BONYEZA HAPA KUJIUNGA

Rulani Mokwena ametambulishwa rasmi na MC Alger kuwa kocha mkuu wa Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Nchini Algeria akichukua nafasi ya Khaled Ben Yahiam aliyepewa mkono wa kwaheri hivi karibuni.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 38 raia wa Afrika Kusini ambaye ambaye alikuwa anakinoa kikosi cha Wydad Casablanca msimu uliopita amepewa mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo MC Alger atakaoanza kuutumikia kuanzia msimu ujao.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here