
Kitaifa
FEISAL SALUM AFICHUA HESABU ZA TANZANIA CHAN 2024
WAKATI Tanzania Agosti 16 2025 kwenye mchezo wa CHAN 2024 ikishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Afrika ya Kati 0-0 Tanzania, kiungo Feisal Salum amebainisha kuwa watapambana katika hatua ya robo fainali kupata matokeo mazuri. Mchezo huo uliopita hatua ya makundi ulikuwa wa kwanza kwa Tanzania














