Mkuu wa mkoa wa Dar es saalam Albert Chalamila ametoa ahadi ya zawadi ya gari aina ya Crown kwa kipa wa Taifa Stars endapo hatoruhusu goli katika mchezo wa leo dhidi ya Morocco. Sambamba na hilo pia mechi ya leo kila goli litanunuliwa kwa Sh Milioni 5 huku mfungaji wa goli atakabidhiwa Sh Milioni 1
Achana na hiyo picha iliyoko mbele ya macho yako ambayo kuanzia jana ilivyopigwa mpaka leo imekuwa picha pendwa mtandaoni. Hao ni Wakuu wa Idara za Habari na Mawasiliano wa timu pendwa za Yanga SC na Simba SC. Mmoja Ali Kamwe. Mwingine ni Ahmed Ally. Leo usiku Taifa letu la Tanzania litakuwa na mche
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Agosti 22 2025 ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Morocco ikiwa ni CHAN 2024. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa saa mbili usiku huku benchi la ufundi la Stars likibainisha kuwa lipo tayari kuhakikish
Timu ya Simba SC rasmi imemtambulisha kiungoa Neo Maema akitokea katika klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Maema ambae anatarajiwa kuongeza nguvu katika nafasi ya kiungo kwenye kikosi cha Simba amesahiliwa kwa kandarasi ya Mwaka mmoja ndani ya Msimbazi.
YANGA SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika wakiwa na mataji 31 kabatini wametambulisha nyota watatu ndani ya Agosti 2025. Katika wachezaji hao usajili ambao ulitikisa ni ule wa beki Mohamed Hussen Zimbwe Jr aliyetambulishwa hapo akitokea kikosi cha Simba SC baad
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameikabidhi timu ya taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) kiasi cha Milioni 200 za Kitanzania, wakati timu hiyo ikijiandaa kumenyana na Morocco katika mchezo wa robo fainali, utakaofanyika Agosti 22, 2025. Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba
José Mourinho amefichua kwamba Lionel Messi alimfanya kuwa kocha bora, akikiri kwamba kukabiliana na Muargentina huyo mara kwa mara kulimsukuma kutafakari upya mbinu zake na kufikia kiwango cha juu zaidi cha soka. Mtaalamu huyo wa kireno, alipambana na Messi katika baadhi ya mechi kali katika maisha
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limetangaza kuwa mashabiki wanaokaa eneo la mzunguko siku ya kesho wafike kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa na watapewa tiketi ambazo zimenunuliwa na wadau kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo. Mashabiki hao ambao watahitaji kupata tiketi hizo watakiwa kufika k
Dahame Beida refa wa kimataifa mwenye Beji ya FIFA toka nchini Mauritania ameteuliwa kuwa Refa wa VAR katika mchezo wa kesho wa dhidi ya Morocco katika michuano ya CHAN. Beida alishawahi kuchezesha mechi kati ya Yanga na Mamelod akakataa goli la Azizi ki lakini pia mechi ya Simba na Berkane akampa k
Kikosi cha wachezaji pamoja na viongozi wa timu ya Taifa ya soka ya Morocco, inayofahamika kama ‘Simba wa Milima ya Atlas’, kimewasili Dar es Salaam kwa maandalizi ya mchezo wa robo fainali ya CHAN 2024 dhidi ya ‘Taifa Stars’ ya Tanzania. Mabingwa hao wa CHAN mara mbili watakutana na Tanzania katika
Klabu ya Manchester United imeripotiwa kumtazama kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga kuwa mbadala kama watamkosa Carlos Baleba wa Brighton wanayemtazama zaidi kama chaguo la kwanza. Camavinga aliyekosa nafasi ya kuanza Madrid anatazamiwa kwenda kushindania nafasi na Casemiro, Manuel Ugarte na ki
Ripoti kutoka nchini Kenya zinadai kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini humo wameanza zoezi la ununuzi wa tiketi za mchezo wa Tanzania dhidi ya Kenya. Lengo lao ni kuwa siku ya mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco uwanja usiwe na mashabiki kwasababu tiketi zitakuwa zimenunuliwa nyingi na hakuna al
Alexander Isak amevunja ukimya wake kuhusu mgomo wake wa Newcastle United kwa kauli mbaya ambapo anasema imani imepotea baada ya ahadi kuvunjwa. Jana alitoa taarifa ambayo anasema hakuna njia ya kurudi. ‘Nimekaa kimya kwa muda mrefu huku wengine wakizungumza,’ aliandika kwenye akaunti yake ya Instag