Mshambuliaji mpya wa Timu ya Taifa Stars Suleman Mwalimu amewasili jijini Dar es salaam kukamilisha taratibu za kujiunga na klabu ya Simba kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Wydad Athletic. Mwalimu ambaye alikiwasha ligi kuu Tanzania bara akiwa na Singida BS na Fountain Gate atasalia jijini Dar es ak
Klabu ya Yanga imeanza mikakati ya kuhakikisha inapata ushindi katika mchezo wake wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani zao wa jadi, Simba, unaotarajiwa kupigwa, Septemba 16, mwaka huu, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Arafat Haji, amesema kuwa mipango na mikakati ya mechi hiyo im
Siku ya Simba ni nafasi kubwa ya kuwapa heshima watu waliofanya makubwa ndani ya Simba , tunatambua , tunakumbuka na tunathamini mchango wao , mwaka huu kwenye Simba Day tutawaalika wachezaji wetu wawili wa zamani ambao wamefanya makubwa ndani ya Simba yetu” “Nahodha wetu wa zamani ambaye amedunu Si
UONGOZI wa Simba SC umebainisha kuwa sababu kubwa ya Simba Day kufanyika Septemba badala ya Agosti ni ratiba kubana huku wakipanga uzinduzi wa Wiki ya Simba kufanyika mkoano Iringa, wilayani Mafinga. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa Simba Day ni tamasha kubw
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal Bukayo Saka huwenda akakosekana uwanjani kwa kipindi cha wiki tatu hadi wiki nne baada ya kupata jeraha la misuli ya paja ‘hamstring’ katika mchezo dhidi ya Leeds United. Taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na klabu yake Saka zinaripoti kuwa nyota huyo ata
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba SC raia wa Ghana, Jonathan Sowah anatarajiwa kuukosa mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga SC utakaopigwa Septemba 16 2025, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mchezo huo wa Ngao ya Jamii ni maalumu kwa ajili ya kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wameanza kupiga hesabu kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC. Mchezo huo unasubiriwa kwa shauku kubwa unatarajiwa kuwa na ushindani ndani ya dakika 90 kwa wababe hao katika uwanja kusaka ushindi. Inaelezwa kuwa tayari Kocha Mkuu wa Y
Droo ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 imepangwa kufanyika tarehe 5 Disemba 2025 katika Kituo cha Kennedy, Washington DC Nchini Marekani. Mashindano hayo yanayofanyika mara ya 23 yataandaliwa kwa mara ya kwanza na mataifa matatu ambayo ni Marekani,Mexico na Canada 🇨🇦, yakihusisha timu 48 kwa mara
Klabu ya Manchester City imepoteza mchezo wa ligi kuu ya Uingereza wakiwa nyumbani dhidi ya Tottenham Hotspur kwa magoli 2-0. Magoli ya Spurs yamefungwa na Brennan Johnson pamoja na Jao Palhina katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo
Ushindi mnono upo Jumamosi ya leo na kampuni kubwa ya ubashiri ya Meridianbet. Tengeneza jamvi lako lenye mechi nyingi sana huku machaguo zaidi ya 1000 yakiwa yanakusubiri. Napoli, City, Barcelona na wengine kibao wanakungoja. BUNDESLIGA kule Ujerumani kuendeleaBayer Leverkusen chini ya Ten Hag wata
Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Crystal Palace raia wa Uingereza Eberechi Eze ni rasmi amesaini mkataba wa kuitumikia klabu ya Arsenal kilichosalia tu ni utambulisho. Siku ya jana nyota huyo aliripotiwa kufanya vipimo vya afya na leo mapema taarifa kutoka Uingereza zinaripoti kuwa nyota huyo ames
Klabu ya Singida BS imetangaza rasmi kupitia kurasa zao za mitandaoni ya kijamii kwamba hakutakuwa na tamasha la Singida Big Day msimu huu kutokana na ufinyu wa ratiba. “Kutokana na ufinyu wa ratiba,tumelazimika kusitisha tamasha la SINGIDA BIG DAY 2025 ambalo lilikua lifanyike uwanja wa Sheikh Amri