Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป NAMBA 8 MPYA WA YANGA SC LASSINE ANATAKA KUTEMBEZA 5G
    KITAIFA

    NAMBA 8 MPYA WA YANGA SC LASSINE ANATAKA KUTEMBEZA 5G

    ChikaoBy ChikaoJuly 26, 202511 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    LASSINE Kouma kapewa jezi namba 8 ambayo iliwahi kuvaliwa na mastaa wakubwa katika kikosi hicho akiwemo Haruna Niyonzima kiungo aliyekuwa anafanya watu wadhani mpira ni kazi rahisi.

    Kouma mwenye miaka 21 anazima dili la Yanga SC kuiwinda saini ya Feisal Salum wa Azam FC ambaye ana nguvu kubwa katika mguu wake wa kulia.

    Katika Ligi ya Mali alifunga jumla ya mabao 7 na kutoa pasi 6 za mabao alikuwa anakipiga ndani ya Stade Malien ni raia wa Mali.

    Lassine ni namba 8 mpya wa Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz ambaye ni kocha mpya mrithi wa mikoba ya Miloud Hamdi.

    Baada ya utambulisho wake Yanga SC wamebainisha kuwa ambacho anahitaji ni kuona wanaendeleza moto wa kutembeza dozi ya 5G kwenye mechi za ushindani ndani ya uwanja.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleDILI LA FEISAL SALUM GUMU KWELIKWELI, NAMBA SITA KIVUMBI
    Next Article YANGA WAMEAMUA KUSHUSHA VIJANA TU, MOTO UTAWAKA

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    View 1 Comment

    1 Comment

    1. Agustino on July 29, 2025 7:37 am

      Usajili wa ukwel ndani ya yanga

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.