Home TETESI ZA SOKA RASMI: SIMBA KUTAMBULISHA VIUNGO HAWA KUTOKA MAMELODI

RASMI: SIMBA KUTAMBULISHA VIUNGO HAWA KUTOKA MAMELODI

200
0

Klabu ya Simba inaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa klabu ya Mamelodi Sundowns Neo Maema ili kupata huduma yake kwa mkopo kuanzia msimu ujao.

Maema mwenye umri wa miaka 29 alijiunga na Masandawana mwaka 2021 akitokea Bloemfontein Celtic amecheza michezo 120 na kufunga magoli 13 na kutoa pasi 14 za magoli.

LAKINI PIA: Klabu ya Simba inatajwa kumalizana na beki wa kati wa klabu ya Mamelodi Sundowns aliyekuwa anakipiga kwa mkopo Maccabi Petah Tikva ya ligi kuu ya Israel Rushine De Reuck mwenye umri wa miaka 29.

TAZAMA FULL VIDEO IKIELEZEA

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here