
Kitaifa
SIMBA KUCHEZA NA TIMU YA BAJABER SIKU YA SIMBA DAY
Ripoti kutoka nchini Kenya zimesema kuwa Kenya Police FC wamealikwa kumenyana na wababe wa Tanzania, Simba SC katika mchezo wa kirafiki siku ya Simba Day, utakaofanyika Septemba 10, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Kenya Police FC ni mabingwa wa ligi kuu nchini Kenya kwa m














