Kocha wa Manchester United Ruben Amorim anasema ana matumaini ya kupata muda wa kuonyesha jinsi mfumo wake utakavyobadilika, lakini anasisitiza hata Papa hataweza kumfanya abadilishe mfumo wake. Mojawapo ya shutuma za kocha huyo Mreno ni kwamba ameng’ang’ana mno na mfumo wake wa 3-4-3 na anapaswa ku
SEPTEMBA 20 2025 ni Gaborone United vs Simba SC mchezo wa hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wababe hawa watakuwa katika dakika 90 za kusaka ushindi kabla ya mchezo wa pili utakaotoa mshindi wa jumla atakayekwenda hatua inayofuata. Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC amesema wanachohitaj
FT: Wiliete SC 0-3 Yanga SC Dakika ya 88 nahodha wa Wiliete anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo nyota wa Yanga SC Dakika ya 86 Yanga SC wanapata pigo huru nje kidogo ya 18 linapigwa na Ecua. Goooooal Yanga SC Dakika ya 82 Prince Dube anafunga goal la 3 kwa Yanga SC akiwa ndani ya
SIMBA SC baada ya kupoteza Ngao ya Jamii, Septemba 16 2025 mbele ya Yanga SC msafara ulikwea pipa na umefika salama Botswana kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali dhidi ya Gaborone United. Hii hapa orodha ya wachezaji wa Simba SC waliopo Botswana watak
IBRAHIM Bacca beki wa Yanga SC amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Williete SC ya Angola unaotarajiwa kuchezwa leo Septemba 19 2025. Septemba 18 2025 kikosi cha Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz kilifanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wao wakiwa ug
Mchambuzi nguli wa soka nchini, Saleh Jembe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika taarifa kuhusiana na Kocha wa Klabu ya Simba, Fadlu David’s kuhusu kuondoka klabuni hapo. “Hii ndio picha ya mwisho ya Kocha Fadlu David’s ambaye ameamua KUACHIA NGAZI SIMBA” “Taarifa zinaeleza aligoma hata kupan
Klabu ya Singida Black Stars imeanza mazoezi kwenye ardhi ya ugenini Kigali Rwanda mara tu baada ya kuwasili Nchini humo kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Rayon Sports. Wawakilishi hao wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu wamefanya mazoezi ya kwanza Nchini humo asubuhi ya l
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amesema kuwa Simba SC ya msimu huu wa 2025/26 ni mbovu kuliko ile ya msimu uliopita wa 2024/25. Yanga SC kwa sasa mkononi wana taji la Ngao ya Jamii walitwaa kwa kushinda mbele ya Simba SC mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 16 2025 ikiwa ni mchezo wa
WIKIENDI imechangamka kwenye anga la kimataifa kutokana na timu zote nne kutoka Tanzania kuwa katika kazi. Ijumaa, Uwanja wa 11 de Novembro, Wiliete Sports vs Yanga SC, saa 12:00 jioni. Simba SC Jumamosi Septemba 20 itakuwa uwanjani kumenyana na Gaborone United saa 2:00 usiku. Yanga SC na Simba SC n
NBC Premier League tayari pazia lake limefunguliwa na Septemba 17 mechi mbili za ufunguzi zilichezwa. KMC 1-0 Dodoma Jiji huu ulichezwa Uwanja wa KMC Complex na mtupiaji wa bao la kwanza msimu wa 2025/26 ni Daruesh Saliboko dakika ya 56 likidumu mpaka mwisho wa dakika 90. Mchezo wa pili ilikuwa Coas
Kikosi cha Mnyama wa Afrika Mashariki, Simba SC, kimewasili nchini Botswana kwaajili ya mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) dhidi ya wenyeji Gaborone United. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Septemba 20 kwenye Uwanja wa Obed Itani Chilume, ambapo mashabiki wa sok
Habari kubwa katika Magazeti ya leo Septemba 18, 2025 Habari, Karibu katika blog yako bora ya habari za michezo ya Sokaleo kwa kuianza asubuhi kwa habari, Tazama vichwa vya habari katika Magazeti ya leo septemba 18, 2025