Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » NYEMBERE ATEULIWA KUONGOZA KAMATI YA MUDA “TPBRC”
    BOXING

    NYEMBERE ATEULIWA KUONGOZA KAMATI YA MUDA “TPBRC”

    ChikaoBy ChikaoAugust 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Tpbrc
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mtangazaji wa #AzamTV, Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC), baada ya kamati ya awali kumaliza muda wake.

    Nyembera ataiongoza Kamati hiyo ya muda ya TPBRC, yenye jumla ya wajumbe sita ikiwa na Mwenyekiti na Makamu wake.

    Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara iliyotolewa leo, Profesa Kabudi ameipa kamati hiyo siku 90 (kuanzia Julai 29 hadi Oktoba 29) kukamilisha marekebisho ya katiba na kuitisha uchaguzi mkuu.

    Wajumbe wapya walioteuliwa ni:
    i. Patrick Nyembera(Mwenyekiti)
    ii. Jackobu Mbuya (Makamu Mwenyekiti
    iii. Gordon Nsajigwa(Katibu)
    iV. Shafii Dauda (Mjumbe)
    V. Irene Mwasanga (Mjumbe)
    Vi. Ibrahim Abbas Kamwe (Mjumbe)

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleBRIGHTON YAENDELEA KUSHIKILIA BOMBA BALEBA KWENDA MAN UTD
    Next Article WINGA SANCHO KUTIMKIA AS ROMA YA ITALIA

    Related Posts

    Dereva wa Anthony Joshua apandishwa kizimbani kisa ajali.

    January 3, 2026

    RAMLA, MWANAMKE WA KWANZA WA KISOMALI KUCHEZA NDONDI

    September 17, 2025

    MIKE TYSON KUZICHAPA NA FLOYD MAYWEATHER

    September 6, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.