Nyota wa Barcelona raia wa Hispania na mshindi wa tuzo ya mchezaji bora kijana kwa msimu wa pili mfululizo Lamine Yamal amempongeza mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or usiku wa jana Ousmane Dembele kwa kufanikiwa kushinda tuzo hiyo ya mchezaji bora wa Dunia 2025. Lamine ametoa pongezi hizo kupitia ukuras
Nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, amesema wanataka kuanza kwa kishindo mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu tanzania dhidi ya Pamba Jiji kama walivyofanya kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuichakaza Wiliete de Benguela ya Angola mabao 3-0. Akizungumza kuelekea mchezo huo utakaopigwa kesho Jumatano,
Klabu ya Simba SC imefanya uteuzi rasmi wa kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ kuwa kocha mkuu wa muda wa timu hiyo. Hemed Morocco, ambaye pia ni kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, atachukua jukumu hili hadi klabu itakapompata kocha mpya wa kudumu. Uteuzi huu unalenga kuimarisha maandalizi ya timu katik
Staa wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), Ousmane Dembélé, ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or ya 2025, akiwashinda wachezaji maarufu kama Lamine Yamal wa Barcelona na Mohamed Salah wa Liverpool. Katika msimu wa 2024/25, Dembélé alifunga mabao 37 na kutoa pasi za mwisho 15,
Bingwa wa Dunia wa Marathon mbio za Kilometa 42, Askari wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ), Sajenti Alphonce Simbu amesema anajivunia kuiheshimisha nchi yake kwa kuibuka mshindi wa Medali ya Dhahabu Jijini Tokyo, Japan hivi karibuni. Simbu aliwasili leo saa tisa alfajiri na kupokelewa na msafar
Klabu ya Simba imeutangaza uwanja wa Benjamini Mkapa kuwa uwanja watakaoutumia kama uwanja wao wa nyumbani katika mashindano yote kwa msimu wa mwaka 2025/26. Simba wamerejea kwenye uwanja huo ambao wamekuwa wakiutumia kama uwanja wa nyumbani kwa misimu mingi kabla ya msimu jana kuahamia KMC Complex
Baada ya kuagana rasmi na mabingwa wa kihistoria wa Tanzania, Simba SC, kocha raia wa Afrika Kusini Fadlu Davids sasa amejiunga na wakali wa Morocco, Raja Club Athletic, kama kocha mkuu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya karibu na klabu hiyo, makubaliano yote kati ya pande mbili yamekamilika,
Baada ya kuachana na vigogo wa Tanzania Simba SC, Kocha Fadlu Davids anatarajiwa kuchukua mikoba ya kuinoa klabu ya Raja Club Athletic. Makubaliano yote tayari yamekamilika na Fadlu anarudi katika klabu hiyo aliyowahi kuwa kocha msaidizi na kushinda Botola Pro bila kupoteza mchezo msimu mzima. Kwa s
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ndiyo chombo cha kikatiba kinachohusika na kusimamia na kuratibu mchakato wa uchaguzi nchini Tanzania. Kazi kubwa ya tume hii ni kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki, uwazi na amani, kuanzia maandalizi, uteuzi wa wasimamizi, uandikishaji wa wapiga kura, hadi
Katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Simba SC ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gaborone United ya Botswana kwenye mchezo uliopigwa mjini Gaborone. Bao pekee la mchezo huo lilifungwa dakika ya 15 na Mpanzu, na kuwapa Wekundu wa Msimbazi faida kubwa kuelekea mchezo wa marudiano jijin
“Ni kweli, mijadala ipo—Simba haikucheza soka la kuvutia sana dhidi ya Gaborone United, lakini bado ikaibuka na ushindi. Wapo wanaoona kama ni dalili za udhaifu, lakini kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kutoa hukumu ya haraka. Kwanza, Simba walikabiliana na timu bora ambayo ilikuwa imepumzika
Klabu ya Barcelona inataka huduma ya nahodha wa Uingereza Harry Kane, 32, ambaye ameifungia Bayern Munich mara 95 katika mechi 102 za ligi. Kane anaonekana kama mbadala wa mshambuliaji Robert Lewandowski. Vyanzo vya habari nchini Uhispania vinadokeza kuwa Bayern wanaweza kuwa tayari kumuuza Kane kwa