Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป TIMU HII KUCHEZA NA TANZANIA ROBO FAINALI YA CHAN
    KITAIFA

    TIMU HII KUCHEZA NA TANZANIA ROBO FAINALI YA CHAN

    ChikaoBy ChikaoAugust 17, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Burudani za CHAN 2024 zinaendelea hii leo kwa michezo miwili muhimu kupigwa kwenye Kundi A, mechi zote mbili zitapigwa mapema majira ya saa 9 Alasiri katika viwanja viwili tofauti.

    Kwenye dimba la Nyayo utapigwa mchezo kati ya DR Congo dhidi ya Morocco, timu zote zikiwa na alama 6 na kuwania nafasi ya kuungana na Kenya kucheza Robo Fainali.

    Wakati kule Moi Kasarani vinara wa Kundi A, watakuwa na kibarua cha kuisaka nafasi ya kuongoza Kundi hilo wakikipiga dhidi ya Zambia ambao tayari wameaga mashindano hayo.

    Kenya tayari wamefuzu hivyo kibarua pekee ni kusaka alama zitakazofanya waongoze Kundi A, wakati vita kubwa ipo kati ya DR Congo na Morocco wanaotafuta alama zitakazowapa uhakika wa kutinga hatua inayofuata.

    Ikumbukwe kuwa mpinzani wa Stars kwenye hatua ya Robo Fainali anapatikana katika Kundi hili.

    Taifa Stars
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleLeo ni leo EPL, Arsenal kuwavaa Man United
    Next Article FOUNTAIN GATE YAANDAA MICHUANO YA KIMATAIFA YA PRE SEASON

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.