Ramla Ali, mwanamichezo wa kwanza kuwakilisha Somalia katika ndondi kwenye Michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020, na mwanamke wa kwanza wa Kisomali kuingia katika mchezo huo kiushindani. Ali alizaliwa mwaka 1989, na familia yake iliondoka Somalia isiyo salama mapema miaka ya 1990 na kuwasili London miak
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu Romain Folz, wameondoka nchini kuelekea Angola kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Septemba 16, 2025 majira ya saa 11:00 jioni, Yanga SC walifanikiwa kutetea taji la Ngao ya Jamii
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids asubuhi ya Septemba 17 2025 kimeanza safari ya kuelekea nchini Botswana kwa kupitia nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone FC. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumamosi hii Se
Jina la kocha wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho linatajwa huenda likarejea kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati huu ambapo mazungumzo yanaendelea ili akinoe kikosi cha Benfica. Benfica ilimtimua kocha wao siku ya Jumanne usiku kufuatia kipigo cha 3-2 walichokipata kutoka kwa klabu ya Qarabag ya Az
Habari kubwa katika Magazeti ya leo Septemba 17, 2025 Habari, Karibu katika blog yako bora ya habari za michezo ya Sokaleo kwa kuianza asubuhi kwa habari, Tazama vichwa vya habari katika Magazeti ya leo septemba 17, 2025
YANGA SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz imetwaa taji la Ngao ya Jamii kwa ushindi mbele ya watani zao wa jadi Simba SC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Bao pekee la ushindi kwa Yanga SC limefungwa na Pacome dakika ya 53 akiwa ndani ya 18 akimfunga kipa Moussa Camara ambaye alianza kikosi
SHOMARI Kapombe beki wa Simba SC amebainisha kuwa watajitoa kwa nguvu zote kuzuia makosa kwenye mchezo dhidi ya Yanga SC ili wasifungwe. Mchezo wa funga kazi msimu wa 2024/25 kwa wababe hawa wawili ulichezwa Juni 25 2025 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga SC 2-0 Simba SC, mabao
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Septemba 16, 2025 Habari, Karibu katika blog yako bora ya habari za michezo ya Sokaleo kwa kuianza asubuhi kwa habari, Tazama vichwa vya habari katika Magazeti ya leo septemba 16, 2025
JOTO la Kariakoo Dabi linazidi kupanda kwa kasi ambapo watani hawa wa jadi wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa, Septemba 16 2025 katika mchezo wa fainali. Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, Cliford Ndimbo ametaja orodha ya waamuzi ambao watakuwa kwenye mchezo huo muhimu wa ufunguzi wa ms
Mwanariadha Alphonce Felix Simbu ashinda mbio za riadha za dunia ambazo zinafanyika jijini Tokyo, nchini Japani na kumshinda mpinzani wake kwa tofauti ya sekunde 0.03 ambaye ni mwanariadha kutoka Ujerumani Amanol Petros. Alphone Simbu ameshinda mbio za dunia kwa kukimbia kwa saa 2:09:48 na kufanikiw
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amethibitisha kuwa siku ya kesho watawakosa wachezaji wawili katika mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Yanga wachezaji hao ni Mohamed Bajaber na Alassane Kante. “Bajaber ana majeraha, Allasane Kante naye pia aliumia kwenye pre season hivyo hao wawili wataukosa mchezo w
Staa wa muziki wa bongefleva Mbosso Khan amewashukuru mashabiki,wanachama na viongozi wa Simba kwa kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye tamasha la Simba Day huku akiweka wazi almanusura apoteze uhai wake. “Barua Kwa Uongozi na Mashabiki Wa Simba Sports Club @simbasctanzania Asanteni Sana Kwa kuniamini
Kocha Mkuu wa Simba amezungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho wa dabi ya kariakoo huku akiweka wazi hawana presha ya mchezo huo ila Yanga ndiyo wenye presha. “Sisi tuna faida ya kuwa na benchi lilelile la ufundi lakini tuna wachezaji wapya ambao tunao kwa wiki kama tatu hadi nne na
Yamebaki masaa kabla ya mchezo wa Kariakoo Dabi kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 16 2025 ikiwa ni mchezo wa Ngao ya Jamii. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 Yanga SC walitwaa taji hilo kwa ushindi kwenye mchezo wa fainali mbele ya Azam FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Simba SC iligotea
JEAN Ahoua kiungo mshambuliaji namba moja wa Simba SC kwenye mtihani mwingine ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids itakuwa Septemba 16 2025. Ahoua ni namba moja kwenye utengenezaji mipango ndani ya kikosi hicho, msimu wa 2024/25 alitengeneza jumla ya pasi 9 za mabao. Mbali