
Kitaifa
UKWELI WA ISHU YA YANGA KUACHANA NA KOCHA FOLZ
WAKATI tetesi zikieleza kuwa mabosi wa Yanga SC huenda wakaachana na Kocha Mkuu, Romain Folz ambaye amekiongoza kikosi hicho kutwaa taji la Ngao ya Jamii, Legend katika masuala ya michezo Tanzania Saleh Ally Jembe amehoji maswali mazito. Jembe amebainisha kuwa tetesi hizo haoni kama zina mashiko kut














