Home KITAIFA MWAKINYO – “NIKO TAYARI KUCHEZA, LAKINI NINACHOTAKA KULIPWA NILIPWE”

MWAKINYO – “NIKO TAYARI KUCHEZA, LAKINI NINACHOTAKA KULIPWA NILIPWE”

176
0
Mwakinyo

Anayetaka kuliona pambano langu dhidi ya bondia wa ndani anifuate mimi tuzungumze na asipite kwa mtu mwingine yeyote. Niko tayari kucheza lakini lazima ninachotaka kulipwa nilipwe na promota asinikadilie. Kuna bondia akiingia makubaliano ya pambano la Mil 9 anafanya visomo kila siku ili makubaliano hayo yasije kuharibika, sasa huko mimi nimeshatoka.

Hassan Mwakinyo

Advertisement

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here