Home KITAIFA Leo ni leo EPL, Arsenal kuwavaa Man United

Leo ni leo EPL, Arsenal kuwavaa Man United

67
0

Ligi Kuu Uingereza iliyoanza jana itaendelea leo Agosti 17, 2025 kwa mechi tatu za kupigwa huku mechi kali ikiwa ile kati ya Manchester United dhidi ya Arsenal itakayochezwa katika dimba la Old Trafford.

Mechi zingine leo ni;

Chelsea vs Crystal Palace, saa 10 jioni, kwenye uwanja wa Stamford Bridge

Advertisement

Nottingham Forest dhidi ya Brentford kwenye uwanja wa City Ground, Nottingham

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here